Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Miss neddy aliniomba nimsaidie kumsukuma mmewe ili aweze kuinuka
Last edited by a moderator:
Akuu sio mie yule, Muulize utafiti maana ile ni gari yake sasa sijui alikodisha.
.
Ameishathibitisha kuwa ndio wewe ndio maana amemtumia picha asprin
Jamani jamani jamani.... hapo red utafanya wachuchu waniogope. Au unaniahidi wewe utanimudu peke yako??Heee!!! uuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! hihihihhhiii mweeee, Asprin wewe una mamboo wewe.
Acha kumpakazia.... mme wa miss neddy si huyu??Miss neddy aliniomba nimsaidie kumsukuma mmewe ili aweze kuinuka
Jamani jamani jamani.... hapo red utafanya wachuchu waniogope. Au unaniahidi wewe utanimudu peke yako??
Ndio tabia zao wanaume, wanavigeugeu, sasa picha ya mchepuko wake ananisingizia mimi khaa!!
Mbona nakumudu vizuri hadi unaomba poo, au uanataka kunirusha roho tu.
Hebu twende PM kwanza. Naona kama tutaeleana. Umenielea?? Haya chapchap sana.....
Bado hamjasema yote.Na mtasema hadi kieleweke
Mimi nimemuachia miss neddy nimeama kwa Asprin mie
Mimi nimemuachia miss neddy nimeama kwa Asprin mie
Tangu jana nakusubiri tu, unajisikia raha kunichomesha mahindi???
Nimefadhaika sana moyoni.We nawe uzee unakuzingua, mimi nimekuja jana halafu leo unalalamika kha!!!!!!
Naanza kuamini maneno ya mshana jr kuwa wazee wa siku hizi tezi dume zinawapeleka vibaya.
Ushaanza kuugua tezi dume bila shaka
Nimefadhaika sana moyoni.
Nimesikitika sana.
Dah!!!