Kwa wale wanaoponda kuzama uvinza

Kwa wale wanaoponda kuzama uvinza

Note [emoji5]Kwe vagina pia kuna bacteria but normal flora
[emoji12]Kunyonya sio shida shida ni pale unanyonya mtu mgonjwa na mara nyingi unaweza kuta vagina iko normal still mtu akawa mgonjwa mara nyingi haya magonjwa kwa kina mama huchelewa kuonesha dalili.
[emoji44]Mfano kuna hii HPV(Human Papilloma Virus ) ambayo inaweza kukupelekea wewe kupata Oropharengeal Cancer and really be scared of that
[emoji31]Pia kuna fungus ambao unaweza usione dalili we ukawala tuu bila kujua
[emoji17]Pia kuna wadada wengine hawajisafishi vizuri.
*BE SAFE


Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu asante ila nina swali. Mfano hao HPV ina maana uki sex kavu na mtu ambae anao ila usimnyonye, hautawapata? Au wao wanaingilia mdomoni tu?
 
Mkuu asante ila nina swali. Mfano hao HPV ina maana uki sex kavu na mtu ambae anao ila usimnyonye, hautawapata? Au wao wanaingilia mdomoni tu?
[emoji21]Unapata
[emoji848]Unaweza hata ukatumia condom but through yale majimaji ya vagina(uke) ukapata still
[emoji6]Male Genital warts (unaweza ukapitia wikipidia kwa knowledge zaidi)
images%20(17).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji21]Unapata
[emoji848]Unaweza hata ukatumia condom but through yale majimaji ya vagina(uke) ukapata still
[emoji6]Male Genital warts (unaweza ukapitia wikipidia kwa knowledge zaidi)View attachment 1067395

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilichokielewa sasa ni kwamba kama mwanamke hana maambukizi yoyote ya ugonjwa, wale bakteria wa kawaida hawana shida unaweza kuwatafuna tu
 
Back
Top Bottom