grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Huyu kumbe haliwi?Ukila nyama yako huyo utatoka ukurutu mpaka kwenye matusi
Huyu kumbe haliwi?Ukila nyama yako huyo utatoka ukurutu mpaka kwenye matusi
Hii itakua nyama kubanikwa....Uroho wangu nimekuja mbio nlifkir nyama choma kweli
Tunayoona ni machache mno kumbe Baharini kuna mengi....
Nasikia pweza ni natural viagra kwa waliopungukiwa nguvu, ni kweli?...
Mmh lisemwalo lipo...!
Hujawahi ku-experience hiyo kitu baada ya kumla?...
Archimedes Principle inaruhusu hata boti ya kawaida kuvuta jitu kama hilo likiwa ndani ya maji lakini si nje ya hapo. Meli kubwa za mizigo ya maelfu ya tani zinaweza kuvuta na matishari umbali mrefu tu....halafu kwa vyovyote limevutwa na heavy duty crane mpaka nje