Vitu gani vinaongeza thamani ya muziki wa gari ......... bei ya chini kabisa ya muziki wa gari ni kiasi gani .......... je,hii kitu kuna mahali mnasomea au ???Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na loudest pamoja na bass ya kutosha kwenye gari,
Pia kwa wale ambao wanapenda mziki wa saizi ya kati pamoja na stereo nzuri,bass ya wastan,pia waweza uliza ama kushare ufahamu ipi ni woofer nzur ktk gari,au unaweza kuuliza kuhusu radio za gari pamoja na ubora,nitashauri nachokielewa lkn najua wapo wengine watakua wanafaham zaidi ivyo tutasaidiana,,
Pia ukitaka ushauri jinsi ya kupamba gari yako kwa cool stiker pia tunaweza kushauriana,au nini uweke kubadiri mwonekano wa gari yako kua bora na nazifu zaidi,pamoja na rims ya kuendana na gari yako ikawa na mwonekano mzur zaid
Wewe unaitwa lovelessmusic.mimi sijui ujana au uzee,hata sijielewi nipo kundi gani maana hakuna mziki naopenda iwe wa hapa au wa nje sina mwanamuziki hata mmoja nampenda duniani,hebu niambie wajuzi na mimi ntakuwa na tatizo gani?
Zipo nying sana mkuu japo bei imesimama sana,mfano kuna hii kenwood,inauwezo mkubwa wa out put,kioo ni full hd na ni inbuilt equilizer,inaplay hdmi pia,pia video za mp4 inacheza,unadownload youtube unaplay bila video kuziconvertTv gani nzuri kwa Gari ambayo haijakaa kichina sanah..
Bei ya chini,unaweza ukawa hata na laki1 ukafunga mzigi mzuri tu,ila unatumia zile woofer ambazo zina amplifier ndan,unaweza kupata hata kwa laki moja na ikapiga mziki mzuri tu.Vitu gani vinaongeza thamani ya muziki wa gari ......... bei ya chini kabisa ya muziki wa gari ni kiasi gani .......... je,hii kitu kuna mahali mnasomea au ???
Mkuu mbona haujanijibu maswali yangu?angalia hapo juuBei ya chini,unaweza ukawa hata na laki1 ukafunga mzigi mzuri tu,ila unatumia zile woofer ambazo zina amplifier ndan,unaweza kupata hata kwa laki moja na ikapiga mziki mzuri tu.
Bonyeza kitufe cha kuwashia Radio na kama ukibonyeza na haiwaki basi angalia kitu kinaitwa FUSE inawezekana imeungua so unabadilisha hiyo FUSE na kuweka nyingine kitu mpeto Nahisi hivyo jaribu halafu rudisha feedback
Karibu mkuuKumbe ilikuwa ni button ya kuwashia asante kwa msaada