Kwa wale wanaojitafuta🤔🤔🤔

Kwa wale wanaojitafuta🤔🤔🤔

Screenshot_20260802-101300~2.jpg

Bwashee hii business idea tutaboa kweli kwenye carrier yenu😂,
 
Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.

Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto wa mbwa kama mimi🤔.

Kula ndazi la buku na maji ya jero ,hauwezi kufa ,piga nyeto ,ukishindwa tafuta wa level ya pesa yako , halafu mshawishi uichape kichakani kwa wivu mkubwa🤔, dume kondom ni 1000 ,cha chapu kiaskari ni dakika 5 , unaepuka ukimwi fala wewe, isitoshe unaokoa na mda , kimbia kama baiskeli ya wizi , fanya yako.
"Kujibana matumizi wakati wa kutafuta mafanikio ni jambo la busara, lakini si kila ushauri unafaa kuigwa. Akiba, nidhamu na kufanya kazi kwa bidii ndivyo hujenga maisha. Matusi na kudhalilisha wengine haviongezi thamani ya hoja."
 
Back
Top Bottom