Sharuku khan ni nani?Kikubwa una save pesa , hauna maisha acha kujifanya sharuku Khan
Au ni Mlevi mwenzako?
Sharuku khan ni nani?Kikubwa una save pesa , hauna maisha acha kujifanya sharuku Khan
Ya msingi ndio raha yenyewe.Hahaha raha ipo shindii ila usilipe raha kama haujafanya ya msingi
Usiache pombe then uwe bahili😃😃😃😃😃Bwashee kama umetokea familia ya watoto wa mbwa kama mimi utaelewa kuhusu nguvu ya kuwa bahili, ila pombe usiache
Ohooopiga nyeto
ndo kitu cha msingi bwashee, tunaishi mara moja kwanini tujibanebaneKula maisha🤗
Toa "honga" hapoTafuta hela kula, honga, kesho tafuta nyingine🙅🏽♂️
Shindii usijinyime raha. Tunaishi mara moja tu!Shindiii🤣🤣 unajua nasema nini
Utat”””omba papaiToa "honga" hapo
ishi vizurii na jinsia ya eva mkuu, kuna watu mbona fresh tu hela sio shida zao anakupa tu jagina kiroho safiUtat”””omba papai
Njoo Paradise una bia zako 5Akili ya pesa nakukutanisha watu wenye pesa na michongo