Kwa wale wanaojitafutašŸ¤”šŸ¤”šŸ¤”

Kwa wale wanaojitafutašŸ¤”šŸ¤”šŸ¤”

ishi vizurii na jinsia ya eva mkuu, kuna watu mbona fresh tu hela sio shida zao anakupa tu jagina kiroho safi
1. Akufanye kibenten, akutumie (kwangu ni big no)
2. Ukubali kuwa anavyokupa wewe kiroho safi kuna wengine anawapa hivyohivyo pia (kwangu pia ni big no, nataka kumiliki na ku controlšŸ™…šŸ½ā€ā™‚ļø)
 
kama atakubali kuhongwa still bado ikija offer ya dau kubwa kukuzidi, bado mwenye kisu kikali ndo atakula nyama.
 
Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.

Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto wa mbwa kama mimišŸ¤”.

Kula ndazi la buku na maji ya jero ,hauwezi kufa ,piga nyeto ,ukishindwa tafuta wa level ya pesa yako , halafu mshawishi uichape kichakani kwa wivu mkubwašŸ¤”, dume kondom ni 1000 ,cha chapu kiaskari ni dakika 5 , unaepuka ukimwi fala wewe, isitoshe unaokoa na mda , kimbia kama baiskeli ya wizi , fanya yako.
Kichakani kwa wivu mkubwa 😜
 
Leo tu nikepanda sgr Hadi moro kufata manzi na mida hii Niko nayo star park nagida nae ugimbi. Ndo mana sitoboi Hadi Leo
Moro una enda fuata wazingua au wakaguru na waluguru au unaenda tafuta watato wa mzumbe na sua sema ukweli
 
Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.

Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto wa mbwa kama mimišŸ¤”.

Kula ndazi la buku na maji ya jero ,hauwezi kufa ,piga nyeto ,ukishindwa tafuta wa level ya pesa yako , halafu mshawishi uichape kichakani kwa wivu mkubwašŸ¤”, dume kondom ni 1000 ,cha chapu kiaskari ni dakika 5 , unaepuka ukimwi fala wewe, isitoshe unaokoa na mda , kimbia kama baiskeli ya wizi , fanya yako.
Kama Hauna fursa mchongo wa maana huu ushauri ni takataka tu utajichosha bure
 
Back
Top Bottom