Wapo ila wachache sana au kwa sababu sinywi ndio maana siwaoniHao ni walevi takataka , ila wenye michongo ni walevi vichwa , kazi kwako kuwaona Bwashee
Pesa yake matumizi. Raha pia muhimu.Shindii asikudanye mtu ukawa unatapnya pesa ukapata pesa , kanuni ya kuwa na pesa ni ubahili, nakufanya mambo ya msingi tu ,hii kuipata popote ni ngumu sana
Hakuna kitu napenda kuona kama account yangu ikituna. Na hiki ndicho kilichonisaidia kutokuwa na matumizi ya kipuuzi, kila nikiwa cent yoyote nayotoa inashusha graph basi nazidi kukazaa,Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.
Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto wa mbwa kama mimi🤔.
Kula ndazi la buku na maji ya jero ,hauwezi kufa ,piga nyeto ,ukishindwa tafuta wa level ya pesa yako , halafu mshawishi uichape kichakani kwa wivu mkubwa🤔, dume kondom ni 1000 ,cha chapu kiaskari ni dakika 5 , unaepuka ukimwi fala wewe, isitoshe unaokoa na mda , kimbia kama baiskeli ya wizi , fanya yako.
Kwa hiyo kichupa kikijaa hata wale wa escort Tz unaweza kulala nao mbele?Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.
Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto wa mbwa kama mimi🤔.
Kula ndazi la buku na maji ya jero ,hauwezi kufa ,piga nyeto ,ukishindwa tafuta wa level ya pesa yako , halafu mshawishi uichape kichakani kwa wivu mkubwa🤔, dume kondom ni 1000 ,cha chapu kiaskari ni dakika 5 , unaepuka ukimwi fala wewe, isitoshe unaokoa na mda , kimbia kama baiskeli ya wizi , fanya yako.
Kwa asilimia ngapi ndomu inaweza kukuepusha na misala?Hujaujua upwiru mkuu akili huwa inahama. Hivi siku hizi bado kuna mapenzi ya vichakani? Kwa vichaka vipi?
Ukiwa unajitafuta jitahidi sana kutuliza akili kwenye utafutaji ukijichanganya tu na haya mambo mengine utakuwa unafanya kazi ya kupiga hatua 5 mbele na kurudi hatua 10 nyuma.
NB: Matumizi ya kinga ni muhimu sana kama kuvumilia itashindikana.