Somo zuri mkuu.
Nimefanikiwa kuroot vizuri tu,baadaye nikaanza kufuta bloatwares,baada ya kufuta bloatwares na settings nyingine nyingine nikashangaa simu inazima yenyewe na kuwaka yenyewe Mara nyingi nyingi,nikaona hapa ninaweza kubrick
simu hivi hivi,nikaiunroot kwa kutumia app ile ile niliyorootiya,sasa baada ya kuroot mambo safi,Hamna cha kujizimazima wala nini,imerudi katika halo y
ake ya kawaida,halafu niliporoot nikidownload miziki haichezi,ilikuwa inasema error in playing file,baada ya kuunroot Hanna file nililodownload likakataa.
Wengi wanacomplicate kwenye kuroot simu,ni jambo LA kawaida na jepesi sana,kubrick simu yako labda uwe hujui kusoma wala kuandika.Mimi mwenyewe niliroot simu yangu ikiwa na chaji ya 10% kwa kifurushi cha 250.
Its easy bro.