Kwa wale waliowahi kukutana na bikira

Amri ya Sita inahusu uzinzi.
Uzinzi hufanywa tu endapo kuna ndoa katikati yenu.
Vijana wasio oa wakikutana kimwili, tunaiita Uasherati.
Uasherati si Uzinzi na hauna uhusiano na Amri ya Sita.

Hivi yule kamanda wa Mwanza alikuwa anamsindikiza nani vile saa 8 ucku?swali la kizushi does this sixth commandment applies?
 
habari gani wana jf?

Mm nina mpnz wangu ambaye bado sijafanya naye mapnz but yy ananiambia ni bikira na wikiendi hii tumepanga tuvunje amri ya sita

mm kwa upandewangu sijawahi kukutana na bikira xo naombeni uzoefu wenu
je katika or after sex utajuaje kuwa ni bikira kweli?
Nisije nikauziwa mbuzi kwenye gunia

inabidi uwe na roho ngumu na mvumilivu, bikira wanaboa, so stuborn kifupi unamchukulia poa unampeleka mdogo mdogo mpk itoke, ila jiandae kukerwa, mie hata sitaki kukumbuka
 
Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli wewe ni kobe mchafu unapanga kabisa kwenda kuvunja amri na unakuja hapa kuomba ushauri? Daaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
inabidi uwe na roho ngumu na mvumilivu, bikira wanaboa, so stuborn kifupi unamchukulia poa unampeleka mdogo mdogo mpk itoke, ila jiandae kukerwa, mie hata sitaki kukumbuka

Mi staki bikira..zubeda alinitoa jasho haswa..lakini sasa kitu lami tu
 
Kwanini aiweke sikuzote hizo na akupe wewe? Nenda ukapewe yaki china uone umepewa Bikra,sikuizi hata kwenye harusi silisiki tena hiloneno....
 
Bikra kwa kipindi hiki. Nhhh, sidhani. Watoto wa siku hizi darasa la 5 tu full kupelekeana moto.
 
Hahahaaaa! Kumbe na wewe ushapataga THE LUCKY NUMBER!!!!!!! Pata KRETI MBILI ZA BIA YA SAFARI LAGER, BIA YA UKWELI KWA WANAUME WA UKWELI!!!!!!!!!!!! Aluuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!! Pongezi za kuokota furushi la hela katikati ya maandamano!!! LOL!!!

Uswahilini kuna vituko!
 
habari gani wana jf?

Mm nina mpnz wangu ambaye bado sijafanya naye mapnz but yy ananiambia ni bikira na wikiendi hii tumepanga tuvunje amri ya sita

mm kwa upandewangu sijawahi kukutana na bikira xo naombeni uzoefu wenu
je katika or after sex utajuaje kuwa ni bikira kweli?
Nisije nikauziwa mbuzi kwenye gunia

Unaonaje ukasubiria hadi mtakapo funga ndoa ndiyo uitumbue?
 
Soma Biblia uielewe vizuri.
Uzinzi na Uasherati ni mambo mawili tofauti.
Wasio oana wakitembea ni wazinzi na ndiyo maana Wenzetu Waislamu
Hufungisha ndoa ya mkeka.
Sasa kwa aliye oa akitembea na asiye olewa huo ni uzinzi kwa sababu kuna mmoja ana ndoa.
KWa aliye olewa akitembea na asiye oa hapo kuna uzinzi kwani kuna ndoa kati yao
Kwa aliye oa akitembea na mwenza wa mwana ndoa mwingine huo ni uzinzi.

mkifumwa Uzinzi adhabu yake katika Biblia ni kupigwa mawe hadi kufa.
Adhabu ya uasherati pale mkifumwa ni ndoa ya mkeka
Weee vipi bana? Amri ya sita inasema USIZINI. Iweje tena unasema "uzinzi hufanywa tu endapo kuna ndoa katikati yenu"? Huyu jamaa anataka kufanya uzinzi..Period.
 
Ckia,hapo hakuna bikra kaka,mimi nishapgwa kabobo kama hzo nyingi sana afu baadae unamkamata.hyo bnti wako ni mzoefu wa hayo mambo na alipogundua kuwa ww ni mgeni ndo amecheza trick hyo,mnaweza kuingia chumbani akawa analia knoma kumbe kaweka ndimu ambayo hwa inakausha maji yaliyoko ukeni hvyo bnt anakuwa kama ndo cku ya kwanza.bikra huwa anapatikana kwa wazinifu 2 ndo huwa wanawajulia,kama unabsha fanya uchunguzi,ina mana mudawote huo waznifu hawajamuona?
 
Hiyo siku mkikutana mpige bia au soda za kutosha kabla ya tendo ili apate kojo la kutosha kuondoa ndimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom