kwa wale waliosomea "chemba"

zugimlole

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,903
2,000
Kama hujui maana ya chemba nenda shule za boarding za serikali zile za zamani (kongwe) hakika utazijua.
Ni mahali ambapo kikundi cha wanafunzi kuanzia watatu hadi watano ambamo huwa wanapiga msuli kwa zamu yaani kama ulinzi vile.
Hizi chemba huwa zinapatikana kwenye majumba au vyumba ambayo havitumiki kabsa.
Kwa wale waliosoma shule kwa mfano.
tabora boyz
mzumbe
moshi tech
milambo
lyamungo
kibaha
old moshi
na nyingine kongwe.
Chemba huwa zinafahamika kwa majina na huwa zinasimamiwa na mwalimu ambae huchagua wanafunzi wake kwa ajili ya kujisomea na kutunza hicho chumba.
Zinasaidia kwa wanafunzi ambao hawahitaji vurugu wakati wa prepo.
Kama nawe ulisoma boarding taja jina la shule na chemba ambayo imekutoa na ukafaulu..
 

Jonatus

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
1,388
1,500
Hahahah mkuu wewe umepigia wapi kat ya hizo. ..inaonesha wewe ulikuwa unatoboa sana
 

skidemount

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
323
0
Ndanda boy kaka.msule katika chemba za vyoo vipya noooma sana.ktk bwen la Kilimanjaro
 

kalipeni

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,184
2,000
kaka umetisha sana mm nilipiga kigonsera songea sisi kwetu chemba walikua wanapewa viongozi na walikua wanaishi umo nilikua na mshikaji wangu alikua kiongozi wa chakula tumepiga sana msuli ila atunda yake nayaona mzee. ilikua timu kama ya watu sita ivi gray j, deo galinoma, boniface dickson 'kitengo', robert malya 'b.o.b', rahim bendera ilikua hatari sana mzee.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom