Hi!
Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari
(machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu,
1. Mihogo ya ambanjaula
2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine nesi msukosuko
3 kwenda kuiba. Ndizi na mihogo kwenye mashamba ya shule na kwenda kufichama mto lumemo
4 kupalilia miraba mirefu ya mahindi Kama vile tuko jkt
5 kuvujiwa maji kwa mabweni ya Lumumba na Nkuruma maana pamoja zege lililowekwa kuvuja Kama nyumba ya nyasi vile
5.
6.
7.
Haya comrades was Cuban sec tujikumbushe name engine meeeengi yaliyojiri tukiwa skuli,,,,,,,,,,,
Duh umenikumbusha mbali sana ndugu,mimi nimemaliza pale 2008 ikiwa ni ifakara girls
Machipi napakumbuka sana! Sisi tulikuwa wazee wa nyali huko interior na kuibukia upper layer Jikoni!
Kwan siku hizi imekuwa ya mchanganyiko?
nilipita pale mwaka jana nilipokuwa naelekea Machipi kijijini,nilivutiwa nayo sana...kilichonisikitisha ni uchakavu wa majengo,ni kama imetelekezwa vile.
Hivi bado imechakaa vile vile???
kwa muda ambao niliondoka nikadhani shule ya m cuba imekarabatiwa, maana sisi tulivujiwa sana pael Lumumba dom
Hahahahaaaa!!! mambo ya upper layer weeee kiukweli maisha yalikwa mazuri sana,,,,,,,
Mimi ilikuwa zamu yangu ya kuchunga ng'ombe lazima nikamue maziwa! Ukichanganya na upper layer unapata mix ya ajabu!
Yale maisha kweli yalikuwa mazuri!
Hivi kariakoo bado ipo??
Kwan siku hizi imekuwa ya mchanganyiko?
Hivi bado imechakaa vile vile???
kwa muda ambao niliondoka nikadhani shule ya m cuba imekarabatiwa, maana sisi tulivujiwa sana pael Lumumba dom
Hi!
Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari
(machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu,
1. Mihogo ya ambanjaula
2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine nesi msukosuko
3 kwenda kuiba. Ndizi na mihogo kwenye mashamba ya shule na kwenda kufichama mto lumemo
4 kupalilia miraba mirefu ya mahindi Kama vile tuko jkt
5 kuvujiwa maji kwa mabweni ya Lumumba na Nkuruma maana pamoja zege lililowekwa kuvuja Kama nyumba ya nyasi vile
5.
6.
7.
Haya comrades was Cuban sec tujikumbushe name engine meeeengi yaliyojiri tukiwa skuli,,,,,,,,,,,
Mimi ilikuwa zamu yangu ya kuchunga ng'ombe lazima nikamue maziwa! Ukichanganya na upper layer unapata mix ya ajabu!
Yale maisha kweli yalikuwa mazuri!
Hivi kariakoo bado ipo??
Nilipata matokeo yangu ya O-level nikiwa Machipi enzi hizo mchanganyiko,japo sijasoma hapo.Mto Lumemo kuna kipindi ulifulika mamba wakaingia mtaani.
Hahaaaa mzee mwangungulu aka baba suma enzi hizo head master...hahaaaa