Kwa wale waliopo dom city...karibuni..

Acha kudhalilisha Jiji na makao makuu ya nchi, siku ukigusa Dom naamini unaweza ukatamani usirudi kwenu

Mkuu huo mji naujua,dom nimekaa sana,hadi leo sh,10 na sh20,zinafatumika huko,
Nakumbuka siku moja nlienda saloon kunyoa nywele,ilikua mida. Ya saa 12 jioni.
Nlivomaliza kunyowa nikampa kinyozi noti ya sh Elf 10,ghafla kinyozi alikunja sura huku akiniambia kwa ukali “We Acha kunidhulumu,tena heshim kazi za watu”
Baada ya kutafakari kwa kina ndio nikajua huyu hatopata chenchi na mida hii ya jioni benki zimeshafungwa
Hili tukio kamwe sintolisahau
 
Haya kwa wale wa maisha Club..jpli ntakuwepo pale namsave mchizi wangu dvj montanah... yaani tunaangusha madude kama yoteeee....
"mchizi kichizi "
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom