Kwa wale waliomaliza chuo na clean sheets

Kwa wale waliomaliza chuo na clean sheets

Unaogopa wanawake wasomi? Nyie ndo mnakujaga kusumbua ma house girls wenu nyinyi
 
Habari za asubuhi wakuu, niwatakie Eid mMubarak kwa waislam wote, bila kupoteza muda nije kwenye maada, je umewahi kusoma chuo mpaka ukahitimu bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi pale chuoni yaani ukatoka na clean sheet?

Binafsi kwa sasa niko mwaka wa mwisho na kuna kila dalili za kumaliza chuo na 4 clean sheets, yaani miaka yote minne sijawahi date na msichana yoyote hapa chuoni japo nina mahusiano mengine huko mtaani, ni kwa sababu wasichana wa hapa chuo huwa nawaona ni expensive, then wanaringa sana.

Kwa wale mliowahi kumaliza chuo na clean sheet ni changamoto gan ilikufanya umalize chuo bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanachuo?
Mbona kawaida sana mimi nimemaliza miaka 3 bila kuwa na relationship yoyote chuo
 
Sikuona changamoto yoyote, maana akili yangu iliwaza kitabu mda mwingi, maana nilikuwa naogopa September conference nanikafanikiwa.
 
Back
Top Bottom