Kwa wale walioko mapenzini na ndoani tu!!!!

Kwa wale walioko mapenzini na ndoani tu!!!!

Ngoja nimwimbie my wife wangu pengine Leo kwaweza kuwa na surprise ya extra time Yaani tuvunje ratiba....
 
Wewe ndo umesema kuhusu kitanda sasa hivi unaniuliza mimi tena, wakati huo huo nimekuliza wewe.!
Kuna uhusiano gani kati ya katikati ya miguu yangu na hicho kitu unacho kiita kitanda ????
ufafanuzi tafadhali.

Miguu yako haina uvungu?

Kama inayo jiulize kama ni kitanda!
 
Uuuups nilikuwa napita tu..
Haya hongera zao wenye ndoa baba paroko kawapendelea sasa mkuu Eiyer sis single somo letu Lin....
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nawapongezeni sana kwa kuweza kuwa pamoja hadi leo,Mungu awasimamieni hadi mfikie ndoa
Kwa wale ambao mko ndoani nawapongezeni sana kwa kuwa ndoani hadi leo pamoja na majaribu na changamoto zinazowakabili kila uchao,msiogope hayo ndio maisha

Lakini pamoja na hayo kuna wale watu ambao wao kila kukicha wanapanga muachane,yaani hawa wao hawaoni raha nyie kuwa pamoja.Kitendo chenu cha kuwa pamoja kinawapa homa sana hawa mabazazi

Leo niko hapa nikiwaambieni kuwa msiwaogope hawa kwani watasema na iko siku wataacha,wala msijali kuhusu maneno yao kwani kusema ni kawaida ya binadamu,watasema usiku watalala

Msijali kabisa kuhusu wasemacho namsidhani kuna ambacho mtakifanya ambacho hawatasema,hivyo hamna haja ya kuwajali kabisa nyie endeleeni mbele hadi kifo kiwatenganishe

Pokeeni wimbo huu kama dedication kwenu na Mungu awatieni nguvu




"They Gonna Talk"

Some things were meant to be
So why not let it be
And stop worrying about it
Long as we know what's in our hearts
We know our inner thoughts, hey
No reason for concern

[Chorus:]
They gonna talk they gonna talk they gonna talk
They gonna say a lot of things about us
You said you know that love is not a sin
But you worry what the people say
When they see me with you
Wonder what the crowd would say
When they find us together
Wonder what the people say
When they know we are in love
Worry what the crowd would say

You pass them on the street yes
Greet you with a smile, hey
As broad as a nile, hoy
They will say all kind of goody goody to you yes
That lingers for a while
All there in your mind
You wanna go you wanna stay
It seems that you can never ever
Make up your mind about it, well
But if you know that love is deep within
Why should you worry what the folks will say

When they see me with you
Worry what the crowd would say
When they find us together
Wonder what the people say
When they know we're in love
Wonder what the people say, oh yeah

Wonder what the people say
When they see me with you
And you wonder what the crowd would say
When they find us together
Worry what the people say
When they know we are in love
And you wonder what the people would say, yeah yeah


Mbarikiwe nyote na mfikie malengo yenu

Much love to you guys ..............!!!!!!!!!!!!!!!! !!


hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!
Haki ya Mungu walai, mwee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom