He!!!!!!!
Kumbe hutafuti?
Wapi ?Unakumbuka nimekuuliza nini?
Kifuatacho???
by some one special?
Uvunguni mwa kitanda chako!
Sina haja ya kukijua kitanda chako ili nijue kama kina uvungu
Hakuna kitanda kisichokuwa na uvungu
Labda uwe huna kitanda!
Unajua maana ngapi za kitanda?Ila haja yako ni ipi??
Naona hapo umesema labda niwe sina kitanda.
Kitanda ni nini?
Make kiswahili kimekuwa na kina misemo mingi..
Hata mke huitwa jiko..
Ndo maana utakuta kijana anaulizwa umeshapata jiko..!!
Katikati ya miguu yako ndio uvunguni!!Na uvungu je ni upi???
Unajua maana ngapi za kitanda?
Katikati ya miguu yako ndio uvunguni!!
Aaahh..Hapa hapanihusu kwa kweli,
Wenye mapenzi yenu jamani pokeeni huo ushauri.