Penzi jipya bhaana!
Kuna wakati unahisi limekuja special from Heaven, na kuna wakati huamini katika kuachana na huona wanaoachana hawajui kupenda!!!!!
Jitahidi sana, usilewe ukajisahau na kuanza kudharauliana.
Nguvu ya upendo wenu elekeza kulilinda pia penzi lenu ili adui wasipate mlango.
Mkiruhusu adui atawatafuna na kutafuna upendo wenu.
Msichukue muda mrefu sana bila kuoana.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mtaachana tu"
Am kidding
Enjoy beautiful bora wewe umetushirikisha kwenye raha,, yakifikia kwenye maumivu utushirikishe pia tutakubembeleza mpaka upoe.....upate penzi lingine uenjoy kama hivi, maisha ndo haya haya
Asante sanaUpendo ukatawale maisha yako pia mpenzi 😘
Ukitaka watz wakusapoti kwa lolote wewe waelezee tu matatizo yako na machungu unayokumbana nayo, watakufariji hao hatari..!
Lakini waambie jambo lako zuri kama utaona any supportive opinions hata moja..!! We need to be positive guys..!
Have a super and remarkable bond dear.!! 😍 😍
Ukikosa anayekupenda nini kifanyike ?
Sasa kama mtu yupo happy unampa tena support ya nini ?Ukitaka watz wakusapoti kwa lolote wewe waelezee tu matatizo yako na machungu unayokumbana nayo, watakufariji hao hatari..!
Lakini waambie jambo lako zuri kama utaona any supportive opinions hata moja..!! We need to be positive guys..!
Have a super and remarkable bond dear.!!
Ninashiriki nawe nyakati twitter mpaka istagram/
Picha unani hashtag drunk in love/
Nanunua brand za gharama za handbag/
perfume ya kali simu ya ghali, Breakfast zanzibar/
Haimaanishi kuwa tunaianza safari/
Nataka nikuandalie maumivu makali/
Nahitaji nikuguse ili unachokiona kiwe kinafanya unikumbuke ni hatari/
Tulio single utatujua tu....
Sasa kama mtu yupo happy unampa tena support ya nini ?
Daktari kazi yake ni kutibu wagonjwa sio kuwasifia wenye siha njema
Ebu tuwe positive rationally
Hata wa kutongoza sioni...nioneshe basiKwa nini Daby, umeona nini?
Je unayempenda hivo naye anakupenda.?Watoto wa kike wapendwe, tatizo mioyo yenu migumu mnoo