Kwa wale wahanga wa MB

Kwa wale wahanga wa MB

gachuru one

Senior Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
119
Reaction score
52
Wakuu mko poa huu uzi ni Kwa ajili ya kuwakumbusha kuwa Voda wamebadili vifurushi vyao vya ofa maalum inayopatikana Kwa menyu ya *149*03# mm nimehatika round hii wamenipa five gb Kwa elfu mbili Wakat mwanzon walikua wananipa mb 400 Kwa buku angalia Kuna badiliko
Screenshot_2018-03-28-13-12-05.png
 
Na ww wamekuchanjia ee [emoji122][emoji122][emoji122] ni mwendo wa kuperuzi na kudownload tu
 
Back
Top Bottom