Kwa wale wa boarding schools

Kitambo hiko aisee..Hapo harage limetiwa mafuta ya taa kwa mbali
 
Daah umenikumbusha mbali sanaa mazengo high school dodoma hiyoo maharage tunawekewa mafuta ya taa hili. ...... ( )
 
nliita hali hii nilipoenda advance shule ya serikali,
 
nakumbuka bagamoyo sec 1996 kuna unapewa zamu week nzima kugawa msosi na kuosha dish na meze ...nililala bweni umoja win "c"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…