Kwa wale msioelewa muziki mzuri

Kwa wale msioelewa muziki mzuri

Aisee hapana mkuu😂😂😂🙏🙏🙏 asante sana! Huo mchanganyiko hata siuelewi ni kama unajaribu kwenda mbele na kurudi nyuma.

Mie napenda House music! Huwa unanikosha sana hasa zile za South Africa.
daah unanisikitisha yaani nyimbo nzuri huzielewi halafu unakuja kuwasikiliza wangoni
 
kwa wanao aminia harakati za culture maandishi sita
1613501975129.png
 
daah unanisikitisha yaani nyimbo nzuri huzielewi halafu unakuja kuwasikiliza wangoni
Hahahah eeh mbee, wangoni wana vitu kuntu sana. Kuna CD flani mzee alinunua ziko 3! Hizo tukiwa tunasafiri anaziweka basi burudani ilioje. Mziki umemiksiwa vyema yani hatari sana.
 
hiyo CD siyo ya wimbo hii?

Muziki mzuri unaanzia Studio ambako recording & mixing hufanyila kisha mazishi hufanyika kwenye music system yako hapo nyumbani, bar au kwenye gari.

Utajuaje kama unamiliki mziki wenye akili. Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kutoa vionjo vyote vya sauti yani instrumemts with full precision or nearby the studio quality. Most Hi-Fi systems were built for this.

Siku hizi music production za hovyo za kinyumbani ambazo zimejaa watu ambao hawana creativity and professionalism ila hebu sikiliza hizi nyimbo kwa utulivu kisha utoe mrejesho how soulful they sound to your ears na kwenye sound system yako.

Hizi nyimbo zina vionjo ambavyo vinatofautisha mziki wa ukweli na utopolo na huwa zinasound tofauti kuna vitu haviskiki kwenye poor systems.

View attachment 1703617
Nimebahatika kununua laptop hp envy wamelabel bang & olufsen, ina system ya music wanaita sijui 5.1, inapga mziki hatari kila kionjo unakisikia
 
Mi namuelewaga sana asley ila sijui kwa nini hamuuoni.redioni hupigwa kwa uchahce sana.mfuatilieni muachane na hizi TAKEU.baba kapanda baiskeli kuku kavaa ...
 
Muziki mzuri unaanzia Studio ambako recording & mixing hufanyila kisha mazishi hufanyika kwenye music system yako hapo nyumbani, bar au kwenye gari.

Utajuaje kama unamiliki mziki wenye akili. Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kutoa vionjo vyote vya sauti yani instrumemts with full precision or nearby the studio quality. Most Hi-Fi systems were built for this.

Siku hizi music production za hovyo za kinyumbani ambazo zimejaa watu ambao hawana creativity and professionalism ila hebu sikiliza hizi nyimbo kwa utulivu kisha utoe mrejesho how soulful they sound to your ears na kwenye sound system yako.

Hizi nyimbo zina vionjo ambavyo vinatofautisha mziki wa ukweli na utopolo na huwa zinasound tofauti kuna vitu haviskiki kwenye poor systems.

View attachment 1703617

Asante Extrovent kwa kunibembeleza na wimbo wa crush wangu wa enzi hizo. Handsome Craic David.... ila mie.... hawa ma handsome utasema nimechanjiwa nao...!!!!

Rendezvous 🥰

I just found myself in-love....

My life is my life...😇.
 
Bonge moja la ngoma 😍 so soulful and soothing!
 
Mziki wowote ule ninaoupiga geto ni mzuri maana sio kwa hilo base tulivu la S1002.
Kumbe pia mziki unakua mtamu kwa aina ya redio unayotumia, mimi natumia hometheater lakini bado naona aina ya mziki husika ndiyo hunifanya nipende na kunivutia kusikiliza hata kama chombo kinatoa mdundo kiasi gani
 
Muziki mzuri unaanzia Studio ambako recording & mixing hufanyila kisha mazishi hufanyika kwenye music system yako hapo nyumbani, bar au kwenye gari.

Utajuaje kama unamiliki mziki wenye akili. Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kutoa vionjo vyote vya sauti yani instrumemts with full precision or nearby the studio quality. Most Hi-Fi systems were built for this.

Siku hizi music production za hovyo za kinyumbani ambazo zimejaa watu ambao hawana creativity and professionalism ila hebu sikiliza hizi nyimbo kwa utulivu kisha utoe mrejesho how soulful they sound to your ears na kwenye sound system yako.

Hizi nyimbo zina vionjo ambavyo vinatofautisha mziki wa ukweli na utopolo na huwa zinasound tofauti kuna vitu haviskiki kwenye poor systems.

View attachment 1703617
Upo sawa mzee
 
Kumbe pia mziki unakua mtamu kwa aina ya redio unayotumia, mimi natumia hometheater lakini bado naona aina ya mziki husika ndiyo hunifanya nipende na kunivutia kusikiliza hata kama chombo kinatoa mdundo kiasi gani
Eeh kinu kikali ni muhimu sana for precise sound production! Hear what the producer intended you to hear.
Ila ukiwa sio enthusiast huwezi kuona difference. Kila muziki utaona wa ukweli tu.
 
Nakubali nakubali
 
Back
Top Bottom