Kwa wale msioelewa muziki mzuri

Kwa wale msioelewa muziki mzuri

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,397
Reaction score
191,510
Muziki mzuri unaanzia Studio ambako recording & mixing hufanyila kisha mazishi hufanyika kwenye music system yako hapo nyumbani, bar au kwenye gari.

Utajuaje kama unamiliki mziki wenye akili. Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kutoa vionjo vyote vya sauti yani instrumemts with full precision or nearby the studio quality. Most Hi-Fi systems were built for this.

Siku hizi music production za hovyo za kinyumbani ambazo zimejaa watu ambao hawana creativity and professionalism ila hebu sikiliza hizi nyimbo kwa utulivu kisha utoe mrejesho how soulful they sound to your ears na kwenye sound system yako.

Hizi nyimbo zina vionjo ambavyo vinatofautisha mziki wa ukweli na utopolo na huwa zinasound tofauti kuna vitu haviskiki kwenye poor systems.

Attachments

achana na reggae, reggae imepoa hii inaki vibe flani unique ebu zicheki hizi

Nmezisikiza mkuu, hizo Dubstep hapana...Ni nyimbo zinapendwa sana kwenye reviews za Youtube.
 
Nmezisikiza mkuu, hizo Dubstep hapana...Ni nyimbo zinapendwa sana kwenye reviews za Youtube.
ndo hivyo mkuu ila binafsi hizi nyimbo hua nazi feel sana. Ukiangalia wimbo wa sia breath me original version yake imepoa sana, lakini cheki dubstep yake ilivyokua na flavour

ndo hivyo mkuu ila binafsi hizi nyimbo hua nazi feel sana. Ukiangalia wimbo wa sia breath me original version yake imepoa sana, lakini cheki dubstep yake ilivyokua na flavour

Aisee hapana mkuu😂😂😂🙏🙏🙏 asante sana! Huo mchanganyiko hata siuelewi ni kama unajaribu kwenda mbele na kurudi nyuma.

Mie napenda House music! Huwa unanikosha sana hasa zile za South Africa.
 
Back
Top Bottom