Kwa wale mliosoma kwa mkopo wa Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu Tanzania, Angalieni Tangazo hili

Ndugu Mwita, hapa naona unachanganya vitu viwili tofauti, Mkopo watu walikopa na masharti ya mkopo walisoma sasa hii ishu ya wabunge sijui nini, ni ishu ya kuijadili kipekee ila hapa tujadiili watu kulipa madeni yao ili wadogo zetu wasome!
kama ni ufisadi tu deal na hao mafisadi

usiwe na shaka mkuu Zanta hapa ni jf tu watu wanapiga soga pesa watalipa tu watukane matusi yote wagome kama madereva ila watalipa tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom