Kwa wale mabinti pitieni hapa

Kwa wale mabinti pitieni hapa

Ameeeeen!!

Kuna mmoja mlokole wakakubaliana hakuna kugusana, sasa hata kuchunguliana hakuna, siku binti kaenda kwa kijana bila kumtaarifu, kufika kijana alikuwa bafuni, ile anatoka akatoka without si ndio binti kukiona kibamia classic yaani sijui 3cm. Mbona ilikuwa shughuli maana binti alivyofika kwao ni kujifungia chumbani na kuanza kulia.
Afu ndo ukaape eti mi na 3cm til death do us apart!!! Chinekeeeee.
 
Point!

Yaani kama ni kibamia aumuhogo nijue tu mapema, au kama haisimami au ni wa mechi ya dakika mbili nifahamu tu kua huyo ndo ntakua nae maishani...
Nikimpenda kwa mengine mengi hilo la 6*6 tutatafuta tu ubunifu...
Paprica hili suala LA mechi dk2 huwa ni tatizo au vipi?
 
Nyege hazina mwenyewe, mbona hapa ni kama vile wasema mwenye nazo ni mwanaume? Na ndio anapaswa kupewa kwani mwanamke yeye hasikii kiu?
Halafu naomba kujua hivi ukibana ukakaa bila mechi za majaribio afu huko ndoani unakuta mtu ana booonge la dude la kijeshi unafanya nini? Au ukute ana ka toothpick unafanya nini? Au kitu kinasimama kwa mariiingo.....
Naomba kujua
Majaribio lazima banah ujue mzigo unafaa? Ni bora kuumia kwa siku moja pindi utakapoujua ukweli wakati wa jaribio kuliko kuumia miaka yako yote ya ndoa hususani hizi ndoa zetu za kikristo ni mtihani kwelikweli
 
Teh teh the Evelny mawazo yko bhanaaaa,,,,,,,
......alafu unapga hesabu ndiyo ndoa kikristo .......umekwisha my dear......bora ukute kubwa utalizoeaaa.. Ndiyo ukutane na hilo linalosimama kwa maringo km karoti iliyonyauka juani......au kasoseji umekwishaaaaa,,,,,?!!!!!

Mwingine unakuta anamsongo wa mawazo cjui ni shida zake au maisha magumu yaan ni shughuli papasa upapasavyo,gusa ugusavyo, chezea uchezeavyo jamaa anagoma kusimama si upumbavu huo.
 
ndo maana ndoa ikawa 'for better or for worse' ukikuta mapungufu ya kimaumbile unapiga goti kumuomba Mungu ukubali mapungufu uliyoyakuta na kutafuta njia mbadala kama vile ndizi na matango.
Yaan mimi niache utamu wa nyama nikapambane na hivyo vitu vya kijinga haiwezekani, tafadhali bwana usifananishe tamu na vitu visivyoeleweka ohooo
 
Shikamoo inspector espy
Wewe hauruhusiwi dota, inspection yako ni ya kuigusa tu alafu usikilizie italala baada ya muda gani? Maana wanavyojua kujisifia alafu ukifika kunako unaweza lia na utamani kuoga na gwanji.
 
Mwingine unakuta anamsongo wa mawazo cjui ni shida zake au maisha magumu yaan ni shughuli papasa upapasavyo,gusa ugusavyo, chezea uchezeavyo jamaa anagoma kusimama si upumbavu huo.
Wololooooooo!!!
Usiombe kukutwa.
 
Wewe hauruhusiwi dota, inspection yako ni ya kuigusa tu alafu usikilizie italala baada ya muda gani? Maana wanavyojua kujisifia alafu ukifika kunako unaweza lia na utamani kuoga na gwanji.
Haha kumbe wanapiga blah blah tu lol
 
Naamini ukiwa mwaminifu Mungu atakuandalia kitu sahh kisicho na kasoro za maumbile
 
Nyege hazina mwenyewe, mbona hapa ni kama vile wasema mwenye nazo ni mwanaume? Na ndio anapaswa kupewa kwani mwanamke yeye hasikii kiu?
Halafu naomba kujua hivi ukibana ukakaa bila mechi za majaribio afu huko ndoani unakuta mtu ana booonge la dude la kijeshi unafanya nini? Au ukute ana ka toothpick unafanya nini? Au kitu kinasimama kwa mariiingo.....
Naomba kujua
Mi ninachojua kutokana na experience yangu, mwanamke wa kawaida hanaga matamanio ya ngono ukilinganisha na mwanamme na mwanamke ana uwezo mkubwa wa kukaa bila kufanya ngono kuliko mwanamme pia mwanamke anahitaji kusisimuliwa hardly ndo atamani kufanya ngono tofauti na ilivyo kwa mwanamme.

NB:Ninaposema mwanamke wa kawaida= asiye na mapepo ya ngono, anayejiheshimu.
 
Chaaaaaa nyege msikie nyie tu akisikia mwanamke pepo......
Baba tazama wanawake tunavoonewa
 
Majaribio lazima banah ujue mzigo unafaa? Ni bora kuumia kwa siku moja pindi utakapoujua ukweli wakati wa jaribio kuliko kuumia miaka yako yote ya ndoa hususani hizi ndoa zetu za kikristo ni mtihani kwelikweli
Yani unaacha kitanda Kizuri kwenu, misosi, unaacha wazazi unaenda kupigwa dolo kwanini mtu
 
Nyege hazina mwenyewe, mbona hapa ni kama vile wasema mwenye nazo ni mwanaume? Na ndio anapaswa kupewa kwani mwanamke yeye hasikii kiu?
Halafu naomba kujua hivi ukibana ukakaa bila mechi za majaribio afu huko ndoani unakuta mtu ana booonge la dude la kijeshi unafanya nini? Au ukute ana ka toothpick unafanya nini? Au kitu kinasimama kwa mariiingo.....
Naomba kujua
😀😀😀 kweli JF kuna raha yake
 
Back
Top Bottom