Kwa wale mabinti pitieni hapa

Kwa wale mabinti pitieni hapa

Mtoa mada umetoa mada nzuri sana pia umeeleza vzr. Isipokua umeahindwa kukwepa mtego ambao waandishi wengi wamekua wakinasa. Hivi jamani ni kweli kuwa wanaume tu ndio wenye tamaa (hamu ) ya ngono? Si kweli. Hata wanawake wana hamu ya ngono. Wala usijidanganye kuwa kila mwanamke anapomvulia mwanamme chupi huivua akitarajia ndoa, wengine huivua kwa nia ya kujirisha wao binafsi kingono. Amini usiamini ila nilichokieleza ni ukweli usiopingika. Ila tu linapokuja kutokea la kutokea wanawake hukimbilia kusaka huruma ya wadau kwa kusingiziwa aliahidiwa ndoa hata kama hakukua na ahadi hiyo. Hata changamoto ya kudhibiti mimba zisizotarajiwa na maambukizi ya VVU wanawake ni kikwazo. Wanawale huwa hawazungumzii matumiI ya kinga na hata wakizungumzia huwa hawamaanishi ndio maana mkifika kwa ground tayari kwa game mwanaume asipokua na kinga kwa wadadaa huwa sio big issue.
Ninaongezea hapa wapo wanawake wengine husema kabisa hawataki matumizi ya kinga huku wakiorodhesha sababu zao kibao.
 
KWA MABINTI
Mabinti wengi wanapokuwa kwenye uhusiano na mwanaume wanayempenda, na mwanaume huyo kumuhakikishia Kumuoa. Inapotokea mwanaume huyo kutaka Ngono (sex), uwezakano wa mabinti kukataa ni asilimia 0.0001 (0.0001 %) sawa na hakuna KABISA.

Kama akitokea amekataa basi huyo mwanaume hampendi, haamini kama kweli anamanisha kuwa naye, huyo mwanaume si king'ang'anizi kutaka wa sex au huwa hawana mazoea ya kukaa sehemu za faragha.

Nimekaa na mabinti na nimeona wana UDHAIFU mkubwa sana Katika kuwakatalia wanaume wanaowapenda kufanya Ngono.
Hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwakumbusha mambo yafuatayo kuhusu mwanaume ..

Kama unampa ili umridhishe, basi kaa ukifahamu mwanaume si mtu wa kuridhika, mpe Leo, mpe kesho na bado atataka tena.

Kama unampa ili Asichepuke, basi unajidanganya..! Tamaa ya ngono na mwanaume ni kama mapacha wa tumbo moja. Kama Biblia ingeruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, basi ungejikuta wewe ni wa pili (bi mdogo), au ungetafutiwa mke mwenzako kama wewe ndio ulitangulia.

Ni Yesu tu aingilie kati na aushike moyo wake.
Kama unampa ili kudumisha Upendo.. Pole..! Mara Baada ya kuona uchi wako, upendo kwa wanaume wengi hupungua, maana unakuwa hauna JIPYA kwake. Angalia utaishia kuweka msiba usiokuwa na waombolezaji.

Kama unampa ili Akuoe, FIKIRI UPYA..! Chanzo cha ndoa si wewe Kuvua Sketi yako, ndoa ni Agano takatifu ambalo mwanzilishi wake ni Mungu mwenyewe. JITAMBUE, USIJIRAHISISHE...! Kama unampa ili ASIKUACHE, Labda nikuambie ni nani unayepaswa kumuogopa..!

Haina haja ya kuogopa kuachwa na mwanaume (asiye na Hofu ya Mungu) maana hana sehemu ya kukupeleka, bali muogope Mungu ambaye aliyeshika maisha yako na mwenye uwezo wa kukuhukumu Katika Jehanum ya MILELE, kwa dhambi hiyo ya Uzinzi unayoifanya.

Mabinti wengi Leo wameumizwa Katika Mapenzi, wanafanya ngono kuwaridhisha wanaume huku wakimkasirisha Mungu na wengine hata kuacha IMANI (Wokovu) kabisa.

Ujumbe huu ukasaidie kukutoa kwenye maangamizo ambayo Ibilisi ameendaa kwa ajili yako. "Ndoa bila kuvua Sketi INAWEZEKANA, UKIAMUA "

Mwanamke JITAMBUE, JITHAMINI na UJIAMINI.
YESU MBELE MWANAUME NYUMA

Warumi 8 : 31
AMINA KUBWAAAAAAAAAA
 
Jmn! Sasa hapa naona kama ndo msumali unapigiliwa moyoni huu utakuwa wa nch 6.
Tukiwa pamoja tutapata ufumbuzi tu madame!
Ndo mana nasema ikitokea tutatafuta tu njia mbadala...
 
Nashukuru Mungu mwaya mm wa kwangu alinivua chupi honeymoon, ila nilikua na mawazo hv nikikuta kibamia itakuaje??

Ikawa tukionana wenyewe naishia kuminya minya dude mpaka linasimama likisimama nasikia raha najua hana kibamia.

Mpaka siku moja akaniuliza mchumbaangu vp mbona wapenda kunishika wakat unajua hatufanyi jibu nililompa nalijua mwenyewe.
Sitakagi ujinga kabisaaa
 
Wapi biblia imesema mwisho kuoa mwanamke mmoja?, kwenye bible kuna watu walikua na wake 600 na nyumba ndogo zaidi ya 250,usichanganye sheria za kwenye biblia na sheria za makanisa
umeshawai kujiuliza kwa nn adamu alipewa eva tu na sio wakina eva?
 
Nyege hazina mwenyewe, mbona hapa ni kama vile wasema mwenye nazo ni mwanaume? Na ndio anapaswa kupewa kwani mwanamke yeye hasikii kiu?
Halafu naomba kujua hivi ukibana ukakaa bila mechi za majaribio afu huko ndoani unakuta mtu ana booonge la dude la kijeshi unafanya nini? Au ukute ana ka toothpick unafanya nini? Au kitu kinasimama kwa mariiingo.....
Naomba kujua
Hahahaha!! Eti kitu kinasimama kwa maringo Hahahahaha!!

Evelyn Salt Bhana
 
Kuna dada mmoja aliolewa na muimba kwaya, nao hivo hivo no majaribio kufika ndani sasa kitu yani kinasimama sijui kikipata mshtuko, make anaweza kuwa anaosha vyombo ndo kinasimama anaitwa fasta wanafanya kidogo kinalala.... Kwa hiyo maisha ndo hivo ya dushe ni ya kuvizia kama anavizia daladala....

Mdada mwingine yeye hapendi kufanya, eti anahisi kinyaa, kwa hiyo mara nyingine inabidi mme akakae bafuni na dear soap....

Haya ni maisha magumu asee, mi napenda dushe kuliko msosi maisha ya bila dushe siyawezi, yani daily namuombea mme wangu afya njema afike hata 70 akiwa na uwezo wa kunishtua na viwili
[HASHTAG]#dusheniuhai[/HASHTAG]
Safi sana tunaitaj wanawake wenye uwezo wa kujiexpress kama wewe..ur welcome
 
umeshawai kujiuliza kwa nn adamu alipewa eva tu na sio wakina eva?

Ulishawahi kumuuliza Ibrahimu a.s (Baba wa Imani) alizaa Na wanawake wangapi kisharia Na wapi hiyo ilikatazwa katika biblia??
 
umeshawai kujiuliza kwa nn adamu alipewa eva tu na sio wakina eva?

Ulishawahi kujiuliza Ibrahimu a.s (Baba wa Imani) alizaa Na wanawake wangapi kisharia Na wapi hiyo ilikatazwa katika biblia??
 
Teh teh the Evelny mawazo yko bhanaaaa,,,,,,,
......alafu unapga hesabu ndiyo ndoa kikristo .......umekwisha my dear......bora ukute kubwa utalizoeaaa.. Ndiyo ukutane na hilo linalosimama kwa maringo km karoti iliyonyauka juani......au kasoseji umekwishaaaaa,,,,,?!!!!!
Hahahahaha!!

Shake well before use
 
haaaahaaaaa smart911mbona ukajitetea Sana uchumba muda wote kama mnasomea PhD ya udaktari banaa

[HASHTAG]#jokes[/HASHTAG]

Uchumba siyo muda wote... ila kuna watu wanapenda kukatisha wengine tamaa... ili ionekane mapenzi ni mabaya... kweli ni mabaya of you are witha wrong person..

cc: mahondaw
 
Nashukuru Mungu mwaya mm wa kwangu alinivua chupi honeymoon, ila nilikua na mawazo hv nikikuta kibamia itakuaje??

Ikawa tukionana wenyewe naishia kuminya minya dude mpaka linasimama likisimama nasikia raha najua hana kibamia.

Mpaka siku moja akaniuliza mchumbaangu vp mbona wapenda kunishika wakat unajua hatufanyi jibu nililompa nalijua mwenyewe.
Sitakagi ujinga kabisaaa
 
Kuna dada mmoja aliolewa na muimba kwaya, nao hivo hivo no majaribio kufika ndani sasa kitu yani kinasimama sijui kikipata mshtuko, make anaweza kuwa anaosha vyombo ndo kinasimama anaitwa fasta wanafanya kidogo kinalala.... Kwa hiyo maisha ndo hivo ya dushe ni ya kuvizia kama anavizia daladala....

Mdada mwingine yeye hapendi kufanya, eti anahisi kinyaa, kwa hiyo mara nyingine inabidi mme akakae bafuni na dear soap....

Haya ni maisha magumu asee, mi napenda dushe kuliko msosi maisha ya bila dushe siyawezi, yani daily namuombea mme wangu afya njema afike hata 70 akiwa na uwezo wa kunishtua na viwili
[HASHTAG]#dusheniuhai[/HASHTAG]
Hahahahaha!!Hehehehehehe!!

Evelyn Salt:

Hakika wewe mdada/binti/mwanamke unanifanyaga niwe nakuwaza kila siku ipo siku mimi na wewe tutaonana kwa jina la...

Walai huwaga nafurahiaga uwepo wako humu Jf bhasi tu sina hela.
 
huyo wa kuvizia dushe isimame!!!!
Hahahaha!!

Yaani hata kama mke yupo chooni dushe likisimama tu anaitwa fasta

Sipati picha mke akiwa mbali halafu dushe likasimama muda huo.

Vipi kwema lakini Paprika
 
Uchumba siyo muda wote... ila kuna watu wanapenda kukatisha wengine tamaa... ili ionekane mapenzi ni mabaya... kweli ni mabaya of you are witha wrong person..

cc: mahondaw
Haya sasa kuna watu washaweka ofa mezani huko

nimeikuta mahali.

Nanukuu"Nampenda sana Mahondwa"
 
Back
Top Bottom