Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Mkuu ubarikiwe saaana,tumsifu YESU Kristo!!!
Mm kwangu ni tofauti kidogo huwa cna majuto na mwanaume, Niko hivi; nikihic mwili wangu unahitaji mambo flan nafanya huwa cjinyimi raha maana either niingie chaputa au niwe mwehu....hakuna Bora.
Naamini kama ni mume kwa wakati wake atakuja ila sebene nacheza na nawachukulia baadhi ya wanaume kama viburudisho tuu kwangu wala cna hasa lengo lakusema tugandane BIG NO.
Ila MUNGU anirehemu.