Kwa wale mabinti pitieni hapa

Aisee upo vizuri sana, halafu mi mwenyewe msukuma kama wewe, vile vile ni doctor we nitafute tu niwe mumeo najua kila kitu.... Coz naujua mwili wa binadamu ulivyo.... Dushe siwezi kuisifia itakuwa kazi yako hiyo
 
Nnavopenda madaktari naomba usinitie majaribu please naomba pita mbali na moyo wangu 😀😀
Makoti meupe na stethoscope vinanizuzuaga, vinanitoa udenda
 
Hahahahah ndo mwanzo wa kusumbua wazaz na wachungaj
 
Nnavopenda madaktari naomba usinitie majaribu please naomba pita mbali na moyo wangu 😀😀
Makoti meupe na stethoscope vinanizuzuaga, vinanitoa udenda
Huhuhuhu powlee sana, hayo makoti ni ya kawaida sema ukiwa nje unaona kama vile daaahh ila kazi ndo noumer muda wote akili iwe powa
 
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, meno LA Mungu linasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, namwomba Mungu asimame nami hicho kilio kiniepuke
 
Alafu kumbe tukifanya hii ni dhambi yetu wenyewe wanaume wao hawamkosei Mungu!! Kama wakishauona uchi basi na thamani imekwisha i wonder walioko ndoani thamani imeisha kiasi gani.

Alikuwa na ujumbe mzuri kakosea kuifanya ionekane kama vile ngono tunafanya wenyewe, au ndio ile kila lawama ni kwa wanawake as if sie hatuna nyege?
 
ndo maana ndoa ikawa 'for better or for worse' ukikuta mapungufu ya kimaumbile unapiga goti kumuomba Mungu ukubali mapungufu uliyoyakuta na kutafuta njia mbadala kama vile ndizi na matango.
Eti umesema!! Haujui hiyo ni psychological suicidal?
Usiombe kukutwa.
 
Hoja imekubaliwa....,
Wanaoafiki waseme ndioooooooo........!!!
 
Ameeeeen!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kuna mmoja mlokole wakakubaliana hakuna kugusana, sasa hata kuchunguliana hakuna, siku binti kaenda kwa kijana bila kumtaarifu, kufika kijana alikuwa bafuni, ile anatoka akatoka without si ndio binti kukiona kibamia classic yaani sijui 3cm. Mbona ilikuwa shughuli maana binti alivyofika kwao ni kujifungia chumbani na kuanza kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…