Kwa wale jobless wenzangu tusaidiane ni mbinu Gani unayotumia kujipatia kipato cha kuendesha maisha

Kwa lugha rahisi unapenda kujua,

'Wha do Jobless people do for a living??
Nakuunga mkono mkuu, alitakiwa aulize mnafanyaje ili muweze kuendesha maisha, ila ukishasema mnafanyaje kupata kipato wewe sio jobless tena, labda kama alikua anazungumzia kazi za kuajirilwa.
 
kiboko kweli kweli
 
Aisee
 
Sio mbaya mkuu...heri yako uliona ujiongeze
 
Kubet
 
Mchumba wangu aliniambia ' Kwanini unaishi kimaskini...?

Leo napo mshkaji wangu kaniambia ' We jamaa mbona unaishi kimaskini sana..?

Wote hawajui km mie n jobless..

Hizi kauli zinaumiza sana roho, unajikuta unajuta hadi kuzaliwa..

Jobles wote, Mungu atuandalie makazi mema huko mbinguni, maana dunia ni jehanam yetu
 
Pole mkuu
 
Me nafanya Research kuna majani ambayo ikiwa hayatakuwa na madhara basi mtaniona katika Runinga nikiwatangazia kujipatia msosi kupitia majani hayo, yana virutubisho vyote ambavyo binadamu anahitaji na upatikanaji wake ni rahisi tu, hatua niliofikia ni nzuri na kama kuna mtu au organization wako serious anaweza join nami tuweze kuwasaidia Watanzania wenzetu na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…