Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Mkuu umesahau kama ni mtu wa bata kuwa na Bar yako ndani hata kama inakiti kimoja na kajikaunta kadogo na sounds music . Yenye vinywaji vikali na soda za watoto na wageni. Kijisofa kimoja au viwili siku mamaa akiwa hayupo unamalaya unakaa nae hapo, kama ni kumla ni hapo bar. Hii sio gharama kuidesign wakati wa ujenzi. Nimedesign yangu wife anaponiukliza hapa kwa ajili ya nn, ninamwambia hapa n jiko la dharula. Atashangaa siku hiyo najaza vinywajinna viti vilefu.

Halafu siku namwambia kaa hapo namhudumia. Maanina sio tunaenda bar za watu tu
Nimelipenda Sana wazo lako mkuu😂😂😂😂😂
 
Nakubaliana na wewe, Kulingana na maisha yenye asili ya upekeyako matukio ya kujiua Ni rahisi kutokea kwa sababu mara nyingi introverts huwa hatupendi kushiriki matatizo yetu kwa watu wengine. Kila Jambo Lina faida na hasara pia kwenye maisha lolote huweza kutokea.
Attitudes za introverts zina hasara zaidi kuliko faida
 
Mm mwnyw tu personality yangu inanisumbua kuielewa vizuri muda mwingi napenda kuwa alone lkn muda nikiwa kwny kundi la watu ama kazini au watu tulio na interest sawa nazungumza mno.Sijui nipo kundi gani.
Nakuwa mkimya kama sijamzoea mtu ila tukizoeana nakuwa mzungumzaji mzuri tu.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
huyu mm sasa yn kama cjakuzoea n salam tu nayo kwa mbinde ila nikikuzoea hunishindi kuongea hata cku moja coz na think very fast bt mtaan cjuan na watu kabsa
 
Changamoto kubwa ni kny mahusiano naweza nikachukua namba za jinsia jirani tukawasiliana hata siku mbili tatu lakin mwisho siku naona kazi tu yaan uvivu flani hivi mpk wanaona nazingua, hii character ni mzigo sana wakati mwingine kwenye maisha!
Hichi kitu kinanisumbua sana yan sana...natafsirika kam nina dharau fln hiv, nimejaribu ku-change lakin nimeshindwa! Namba tunapeana vizur ila baada ya hapo nikimchek mara 1, ya pili akinichek siendelei nae na hadi nijiskie kumtafuta!

Surely I have tried my level best ila imegoma....kuna mmoja ilivyobidi alinifata home mana alipga na kutuma text sana wala sikujikuna, akanikuta nachek video yutubu, aliongea sana nimeonyesha dharau ila kiukweli siyo dharau, ni basi tu sijiskiii..

Nikikifanya kile nachokitaka naona ndy sahihi zaidi kuliko nitegeshewe influence fln ya kutafutana!
 
😂😂😂😂 Unasema hivyo labda kwa kuwa wewe Ni extrovert, na Mimi nitasema tabia za ki extrovert Ni zenye hasara hivyo kila mtu anavutia kwake.
Naona extrovert ofisi kwangu wanahasara kuliko faida,hapa niite fursa,fursa tunapata sisi tu.
 
Hichi kitu kinanisumbua sana yan sana...natafsirika kam nina dharau fln hiv, nimejaribu ku-change lakin nimeshindwa! Namba tunapeana vizur ila baada ya hapo nikimchek mara 1, ya pili akinichek siendelei nae na hadi nijiskie kumtafuta!

Surely I have tried my level best ila imegoma....kuna mmoja ilivyobidi alinifata home mana alipga na kutuma text sana wala sikujikuna, akanikuta nachek video yutubu, aliongea sana nimeonyesha dharau ila kiukweli siyo dharau, ni basi tu sijiskiii..

Nikikifanya kile nachokitaka naona ndy sahihi zaidi kuliko nitegeshewe influence fln ya kutafutana!
Mzaz akifukia hatua kuniletea watoto shombeshombe home naona sitamuoa ila namtamani ,so najikuta sijishughulisj nao
 
Siyo aelezee kiviiileee yaani aseme tu wanauza product or service eg za mpesa, ni restaurant ni casino, ni bank Yaani kiujumla kuna kitu nataka kuconnect kazi za introvert zikoje tu si kwa ubaya
Sasa mkuu kazi ni kazi mradi unapata pato!

Sasa wew mwenye Introversion unaweza kua kondakta wa bus za abiria au hiace?
 
Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial or stressed.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi,kama udaku na kusema watu,tunataka story zenye facts.

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Mtu akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako
muda mwingi akili yako ina imagination tu
unaweza hata ukaongea na kichwa chako unaunda tume kichwani hata group discussion

kukaa na mtu nyumbani ni bugudha kubwa muda wote unaona anakurushia stimu zako vile mda wote msemeshane vitu vyako viko kwenye mpangilio maalumu yeye anavivuruga.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui mm nipo wapi nijuzeni wataalam maana mm kwanza kuna majiran zangu nakaa nao uswahilini nymba ziko ero distance lakin hawaijui hata sauti yangu inaskikaje
mtu akiniongelelesha jambo kaama story mala yingi huwa naitikia kwa kichwa tu
sipendi kuongea sana na kiukweli huwa nnamajibu machafu nnapokuwa najalibu kumueleza mtu jambo alafu asinielewe haraka au ajifanye hajaskia nlichosema
napenda sana kuwa peke angu mda mwingi
sipendi kuskiliza mziki wa aina yoyote huwa naskiliza only instrumentals
mwisho sipendi mtu ajue information zangu yaan mm ni nan niko apa kwa sababu gan elimu familia yangu na mambo mengine binafsi yote
we ni mwenzetu
 
Back
Top Bottom