Kwa wale ambao wamefungua vyuo, 'boom' vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale ambao wamefungua vyuo, 'boom' vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyambari, Oct 16, 2011.

 1. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hivi utaratibu wa boom kwa mwaka huu inakuwaje wakuu, tunatupiwa kwenye hizo akaunti zetu au ni foleni kama first year? naomba MWONGOZO wale ambao tayari mshafungua vyuo maana naona siku zinakata na salio hakuna
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  vipi ume miss club nini?
   
 3. G

  Gavanor Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah!!kwani huna hata nauli mkuu?
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Maswali mengine ya kipuuzi sana.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hivi boom ndo nini kwa sie ambao hatujawahi fika chuo kikuu?
   
 6. G

  Gavanor Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mikopo wanayopewe huko vyuon mkuu.
   
 7. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe Nyambari ni wa chuo gani?
   
 8. E

  Elai Senior Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baadhi ya vyuo kama RUCO wamepanga foleni na kusaini kwa wahasibu.Inawezekana ndio utaratibu mpya kwa continueing students, japokuwa waziri husika alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mapema septemba alisema utaratibu mpya utahusu wanafunzi wapya tu.
   
 9. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  SauT wametoa since 2/10. Wamewekewa tsh 718000 me mwenyewe nami nimepata wajomba.
   
 10. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Pale, 'green zone' aka kwa GILLAH
   
 11. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mzee kama kawaida yako tushakuzoea.........
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mwisho wa siku huwa linageuka kua BOMU
   
 13. E

  Elai Senior Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumaini University,Iringa bado hawajapata na ni wiki ya pili inaanza tuka wamefungua!!!!
   
 14. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu kwa habari yako
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  nawe pia tumekuzoea kwa maswali yako ya kijinga.
   
 16. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wanataka hadi tuvunje vioo ndipo walete wacha waendelee kukalia hadi nextweek wataona moto wao!
   
Loading...