Kwa wale ambao hatujakubaliana na ripoti...

Kwa wale ambao hatujakubaliana na ripoti...

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,653
Hivi hawa watu vipi?...Wao ndo walisaini mikataba alafu wao ndo wanaikandamiza.Sasa wakitaka tukubaliane nao....basi waombe fidia yetu au wa wajibishe waliotoa ruksa hii mikataba isainiwe...sio kutoa kafara mara sijui Waziri....mara oohh board ya TMAA....hapa wachawi wanajulikana na inabidi wa wajibishiwe......PERIOD!!!
 
Mimi sijaamini eti accaia hawajasajiliwa brela

Kazi ipo kwa kweli
 
Kwa hiki kipindi cha Magufuli tutaona mengi yaliyokuwa yamefichwa, tuendelee kusubiri
 
Baada ya miaka20 ndo wanashtuka!daaaa hawa watu ni hatari sana!
 
Baada ya miaka20 ndo wanashtuka!daaaa hawa watu ni hatari sana!
Uzalendo na Uongozi bora unategemea na sera za mtawala. Mkwere aliutafuta Ukuu kwa udi na uvumba, alipoona wenye busara wamemkataa, akatumia wenye mali, unajua kilichofuata.....

Ben hakuutaka kabisaa ukuu, wenye utimamu wa akili wakamuweka Ukuuni, akanogewa...akajiunga na wenye mali, kilichofuata unakijua....

Sasa kama hivyo ndivyo, hata uwe na dhamira ya kiuungu ndani ya kundi la wadanganyika, ilimradi mwenye enzi hataki, basi HAIWEZEKANI. Wenye akiki wataiona dhamira yako na watajua umefungwa mikono na mdomo, wengi watakwambia, mbona hukung'atuka???

Si kwamba uking'atuka wananchi wataunga mkono na pengine watawala watawajibishwa, Hasha! Utakaa pembeni, na yale yale yataendelea.

Kwahiyo, kama dhamira ni ya dhati, kuna ulazima wa kupambana ukiwa ndani.
 
Ungejua, Mimi nafuatilia sana ni namna gani ya mkumsaidia Mkuu wa nchi ila wapo wanaonifuatilia mno, kwanini nafuatilia. Hakuna mwenye nchi sote ni katukumeni wa kiinanchi kwa kila mmoja, aseme ndiyo au hapana akiwa na vilelezo vya mashiko...! Wewe unasemaje..?
 
Back
Top Bottom