Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Baby wala asikupe presha huyo...Wifii wifi wifiiiiiii.....
Huyo uliyemuona labda KOKUSHUBILA.
Mimi na @li79 tuko busy km tai na shati, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono...HAKATWI MTU HAPA
Baby wala asikupe presha huyo...
Ana kawivu kwa mbaaaali..
Btw, nitakunong'oneza badae!!!
mbona umenitelekeza bafuni
na ndoo yangu ya maji ya kuoga
nimeyaunga na iliki na tangawizi kabisa??
hahahaaa!!pacha umeniacha hoiulisahau kuweka pilipili kichaa na upu pu angeng'aaje.....!
hahahaaa!!pacha umeniacha hoi
nitafanyia parctical ya ----- na pilipili!!
Oooooh! How sweet...thanx luv
wivuuuuuu???
mwenzio nina kikoba
nimewekeza vidume ebooo!!
:behindsofa::behindsofa::behindsofa: