Bahati ya mwenzako........! *malizia*
..Tatizo nyie wenyewe ndio mnapaniki ovyo, hata sielewi ni kwa nini mnakuwa hivyo...!
..Mnataka perfect men, wakati nyie wenyewe hamko perfect..!
Chances za kuolewa ukiwa na mtoto ni ndogo sana, hasa umri ukishaenda. unajua vijana wa siku hizi wamekuwa na kasumba flani, hawataki kubeba *mizigo* unlike miaka ya nyuma, mtu angeweza kuoa mwanamke bila kujali ana familia au hana..!
Bahati ya mwenzako........! *malizia*
..Tatizo nyie wenyewe ndio mnapaniki ovyo, hata sielewi ni kwa nini mnakuwa hivyo...!
..Mnataka perfect men, wakati nyie wenyewe hamko perfect..!
tatizo above 30 kashachezea migegedo mingi sanaaaa loh
alafu mnasahau kitu kimoja mwanamke akiza mid twenties mwili wake una kuwa na uwezo wa kurecover kwenye hali yake ya kawaida kirahisi zaidi kuliko above 30
itabidi tuanze campaign ya kupunguza unene watu wasifikiri unene ni afya jamani. yaani nilikuja bongo juzi nilibaki kushangaa watoto wa miaka 30-40 wana matumbo makubwa nawauliza mko na mimba wanasema hapana ukisikiliza maongezi yao ni chakula tu kwakweli niliwaonea huruma waume zao maana wako na mashape kama apples kiuno,tumbo, ------ vyote viko pamoja.