Asee,ni uelewa tu.
Ukweli hutaopata ndugu lkn wengi wana donda ndugu...
tatizo above 30 kashachezea migegedo mingi sanaaaa loh
alafu mnasahau kitu kimoja mwanamke akiza mid twenties mwili wake una kuwa na uwezo wa kurecover kwenye hali yake ya kawaida kirahisi zaidi kuliko above 30
Ukipata bilow 25 utamfundisha mengi lakini above 30 utamfunza nini?
tatizo above 30 kashachezea migegedo mingi sanaaaa loh
alafu mnasahau kitu kimoja mwanamke akiza mid twenties mwili wake una kuwa na uwezo wa kurecover kwenye hali yake ya kawaida kirahisi zaidi kuliko above 30
Ukipata bilow 25 utamfundisha mengi lakini above 30 utamfunza nini?
Ukipata bilow 25 utamfundisha mengi lakini above 30 utamfunza nini?
Kwa mila za makabila mengi hasa hapa bongo wanaume tunashauriwa kuoa mwanamke uliemzid umri kuanzia miaka 5 and above...Sasa mdada upo tuseme na miaka 32 inabidi basi uolewe na mwanaume wa kuanzia miaka 37, Imagine tu kuna mwanaume amegonga 37 yupo yupo tu...sidhan lazima atakuwa amesha-divorce ama mdada ukubali kuwa 2nd wife aka Mchepuko wa mtu. Ila situation ya leo inawa-favor sana kina dada wenye umri mkubwa coz vijana wengi wanapenda sana oversize kuanzia surual, viatu had wanawake.
Nauza dawa ya kupunguza miaka. Kama wewe ni 40 itakuwa 30, kama wewe ni 30 itakuwa 20, wahi discaunt 70% watakaowahi. Nipo kanda ya kati.
Note: kuhusu cheti cha kuzaliwa usiwaze, nacho kitabadilika.
Ni mtazamo tu kuwa mwanamke akiwa mdogo ni rahisi kumuheshimu mumeo kwanza kama mume pili kama mtu aliemzid umri ama wewe umesahau ulivyokuwa unasisitizwa na wazaz ni lazima uheshimu waliokuzid umri? Na baadh ya wadada huwa na maringo sana wakiwa na 20s hata akisemeshwa tu barabaran na mwanaume yeye anakuwa mkal tu sasa unakuta taarifa zake za maringo zinasambaa kwa wanaume walio wengi na wanaamua kumpotezea tu had aje kushtuka kuwa hakuna mwanaume anatym nae yuko kwenye 30s ndo anaanza kurudi tena kwa wale aliekuwa anawaletea nyodo saa inakuwa too late wale wote washakuwa na wake zao...ndo unakuta mwanamke alikuwa decent ghafla anakuwa mama huruma kila akigongewa tu keshavua watu wanajilia nakutambaa mwishowe anakuja pewa mimba na mme wa mtu....Ndo kishney habar yake hivyo ....So msiwe mama huruma na msiwe rigid sana kuwa haste haste....nipe nipige kidogo huwezi jua mi ndo mme wako.....Ila si mimi, mi shakamata mwenza tunasukama gurudumu sasa.Hivi hilo la kumzidi miaka mitano lina nini mkuu??,whats the secret behind??
habar ya asubuh mkuu