Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wajasiriamali msaada huu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Doyi, Jan 23, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  habari wana jf
  jamani kuna mdau anatoa huduma kuwezesha kufungua kampuni ya sole proprietorship,partners,limited company,ikiwa ni pamoja na kufatilia ishu zote za kusajili jina pale BRELA,kupata TIN NUMBER, na legal document zooote za company operation
  kwa maelezo na ufafanuzi zaidi mcheki kwa 0714 074040 au 0714656566
   
 2. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,136
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Weka mchanganuo wa ghalama za kuandaa mpaka kusajili
   
 3. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Bos wangu nashkuru kwa maoni yako.Kwa maelezo zaid mcheki muhusika atakupa every detail you want so wewe mtwangie tu
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,818
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Maadamu umeleta hapa mwambie muhusika ajiunge na jukwaa tuondoe mzungu wa kila mtu kumtwangia................tukwepe gharama zisizo za lazima
   
 5. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Oke bos ngoja nifatilie then nimwambie ajiunge au anipe hzo detail.Asante sana
   
Loading...