Kwa Waislam kuhusu kufuturu

Hivi waislamu huwa hamuwezi kujibu hoja bila kukashfu dini nyingine? Mtu una hoja nzuri ila basi tu kutokujiamin unaamua kuweka kejeli kwa dini isiyokuhusu aiseee halafu hapo unakua proud kweli eti umefunga wakati umeshinda njaa.
 
Sina uhakika na dini au imani ya mtoa mada. Nadhan swali lake halina kejeli hasa ukisoma jibu alilotoa bi faiza ni elimu tosha. Asiyeelewa mueleweshe bila kejeli hasa kama swali lake halina kejeli
Kumbuka mna misahafu pia huwa mnaning'ing'iniza wapi?

Anyway usiwe unapanic kwa vitu vidogo visivyohitaji akili kubwa. Uadui sio ishu. Pia kumbuka sio kila mkristo anavaa rozali mfano wasabato hawaamini kabisaa masuala ya rozali
Kwahiyo mnafanya kusudi ili mtuharibie swaumu? Sisi mbona hatuwaulizi baadhi yenu mnavyoning'iniza misalaba shingoni kama mbuzi anayepelekwa malishoni.
 
uislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini

funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.

kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje

hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,

hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.

kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
SIKU HIZI MBONA WATU WANAFUTURU KWA KUJIFICHA...Yaani kila mtu afuturu kwake, bampa tu bampa
 
Una kipaji cha taarabu mr halichachi(bora haujatumia ID ya promoshen mpya mkuu). Thread nyingi za wakristo waislam wanachangia,sijaona ubaya kuelimishana. Ukiulizwa swali jibu swali sio porojo ooh mbona fulan anafanya vile sie hatufanyi hivyo simple tu kama huwez game achia wakongwe wanaelewa wakifanyacho sio kutoa mapovu na mipasho
Misahafu inashikwa mkononi hata tasbihi tunashika mkononi,mambo ya waislam waachieni waislam wengi humu wanapenda kuchokonoa mambo yasiyo wahusu si kwa kutaka kujua bali hufanya dhihaka kwa kuona ni mambo yasiyo na tija yoyote,pilipili husiyoila inakuwashia nini?
 
Waislam wanafungua.......kwa mwezi mzima tumeshuhudia ustaarabu hakuna vurugu hakuna kipundupindu hakuna magest kujaa.
Kupitia funga hii nimejifunza waislam hawana ustaarabu. Sasa ngoja wafungulie tutayaona mengi na magest kujaa kama kawaida
 
Alafu kwanini hawali mezani, pia wanakula nje , sijui kwanini
 
Haikatazwi kufuturu kwenye viti na meza , hata hao Wakristo sio wote wanaokula kwenye viti na meza ,
 
Attachments

  • Screenshot_20170624-211447.png
    Screenshot_20170624-211447.png
    140.2 KB · Views: 22
Ni lazima kukaa kwenye mkeka au chini wakati wa kufuturu? Hayo ni mafundisho au ni mila tu yakawaida
Napata taabu kuona baadhi ya watu hujilamisha kukaa wakati wengine wakiwa hawajiwezi
Nawasilisha
hawa wenzetu waislamu kwa kweli mungu awaokoe tu maana kwa kweli wamezama kwenye dimbwi baya sana.
 
hawa wenzetu waislamu kwa kweli mungu awaokoe tu maana kwa kweli wamezama kwenye dimbwi baya sana.
Usifike huko kwa kusema wamezama katika dimbwi baya hiyo utakua unakashif dini
Kuna aya inasema nyie na dini yenu nao na dini yao hapo ukipambanua ndo utafikia ukweli
 
Usifike huko kwa kusema wamezama katika dimbwi baya hiyo utakua unakashif dini
Kuna aya inasema nyie na dini yenu nao na dini yao hapo ukipambanua ndo utafikia ukweli
basi mkuu nisamehe kama nimekashifu. nisamehe bna. pia msije mkaninyima mwaliko wa Eid
 
Waislam wanafungua.......kwa mwezi mzima tumeshuhudia ustaarabu hakuna vurugu hakuna kipundupindu hakuna magest kujaa.
Kupitia funga hii nimejifunza waislam hawana ustaarabu. Sasa ngoja wafungulie tutayaona mengi na magest kujaa kama kawaida
Kipindupindu kinasababishwa na dini?Nyie mnaokunya hamtawazi kwa maji mnatumia karatasi msipate kipindupindu wapate waislamu?Muislamu wa kweli hawezi kuwa na vurugu maana dini yake hairuhusu,Dini yenu si inaruhusu Ushoga kule Anglicana?Sio vurugu hizo?Muislam u wa kweli hawezi kwenda guest ila asiye muislam wa kweli anaweza!fuata dini yako acha dini yetu!
 
Hivi waislamu huwa hamuwezi kujibu hoja bila kukashfu dini nyingine? Mtu una hoja nzuri ila basi tu kutokujiamin unaamua kuweka kejeli kwa dini isiyokuhusu aiseee halafu hapo unakua proud kweli eti umefunga wakati umeshinda njaa.
Kumjibiu mtu mwenye janaba ni dhambi!Kuhusu kufunga mwenyezi Mungu anasema yeye tu ndiye anayejua nani amefunga na nani hajafunga sio wewe!
 
Kama tumetoka kufanyana hapo sawa. Hahahaa yaan mnapanik balaaa eti janaba. Leo na kesho gest zitajaaa kweli mnavyojua kukitembeza
Kumjibiu mtu mwenye janaba ni dhambi!Kuhusu kufunga mwenyezi Mungu anasema yeye tu ndiye anayejua nani amefunga na nani hajafunga sio wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom