vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 246
afu mnachinja 'ulinzi' harusini
afu mnachinja 'ulinzi' harusini
Na Msuba kwao mboga pia!
Wakati pande za huku ni crop trade!
Tunasomeshea watoto.
ukutwilusa hegele huko, bite ukatunde ukagonage.afu mnachinja 'ulinzi' harusini
umnyalupuva veve!
Na Msuba kwao mboga pia!
Wakati pande za huku ni crop trade!
Tunasomeshea watoto.
ukutwilusa hegele huko, bite ukatunde ukagonage.
Nyie akina Kamwene, mnataka niwape ugali na idogi?
Mnadhani raha mnavyoumua maandazi kwa ulanzi?
Nyie akina Kamwene, mnataka niwape ugali na idogi?
Mnadhani raha mnavyoumua maandazi kwa ulanzi?
Kongosho hao ukiomba ugali watakuambia hatuna [mahindi wametengeneza komoni]
ukiwaambia basi naomba maji ya kunywa watakuambia labda kalasi kapo,
ukiwaambia kuhusu nyama choma hapo utaletewa kk security...
ukiomba mboga ndio hatari zaidi watakuuliza ya malawi au ya tarime?
ukiomba kamba ya manila ufungie mizigo wanaweza anza kulia... maana watahisi unataka kujinanii
kumbe na wewe unajua kuwa wanatumia ule mnafu Mkuu?
Wakiuwekea na karanga watoto under 14 hawalewi.
Afu watoto under 2 wananyweshwa maji ya miti ili walale mama zao wapate muda wa kulima.
kumbe na wewe unajua kuwa wanatumia ule mnafu Mkuu?
Wakiuwekea na karanga watoto under 14 hawalewi.
Afu watoto under 2 wananyweshwa maji ya miti ili walale mama zao wapate muda wa kulima.
Kongosho, Mmwaminifu na Smiling Saint hamna lolote mnatuonea wivu tu.
maana kwa wahehe hakuna njaa mambo yote utayapata, komoni, ulanzi, kk security (dogi)
mnafu vyote vipo mshindwe wenyewe. karibuni.
Kongosho, Mmwaminifu na Smiling Saint hamna lolote mnatuonea wivu tu. maana kwa wahehe hakuna njaa mambo yote utayapata, komoni, ulanzi, kk security (dogi) mnafu vyote vipo mshindwe wenyewe. karibuni.
yaani Smiling Saint ungenilima ban ningekutwanga na debe 2 za ulanzi.Mh!! Jeji tuwaonee wivu?? yaani una bahati mie sio mod.... ningekulima ban hivihivi..... lol..... by the way... sis tuna samaki, ng'ombe na mazao kibawa!! nyie nasubiri siku nisikie mnasafirisha vi-pelee vya mto ruaha kwenda nje..... uuuuuuwi