Kwa wadada wenye magari tu

Kwa wadada wenye magari tu

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,974
Habari za asubuhi?

Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna ongezeko kubwa sana la wanawake/wadada kumiliki gari na kuziendesha pia,ni jambo jema kwa kweli.

Ila shida yenu kubwa ni kuvaa vigauni /visketi vifupi sana, inakuwa shida sana pindi mnapotoka kwenye magari yenu, utakuta mdada wa watu anakosa amani na kuanza kukivuka kinguo chake mara kwa mara.

Mimi najiuliza hivyo vinguo vyenu ndio maelekezo mliyopewa wakati wa kupata leseni ya udereva kuwa ni lazima uvae nusu uchi ili uonekane mjanja au kuonesha kuwa ni dada poa?

Mila na tamaduni zetu za kitanzania, pindi uvaapo na kutoka nje ni lazima uheshimu na wengine,usiwape watu mifadhaiko isiyo na lazima.

NB: Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi. Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.
 
Huwezi jua ni shida gani tunapata kupata pesa ya kununua hayo magari.......au tunajinyima vipi.......tuache tuvae tunavyotaka coz magari ni yetu na nguo ni zetu pia........mtuwaaaaache..........
We ukiniona na mini usiniangalie........angalia wababa waliovaa suruali wenye magari.............
 
Preta, Mbona jibu ni rahisi? Emilias G una gari? Huwezi kuendesha gari na sketi ndefu kiasi cha kuikanyagia. inaweza leta ajrai. Huwezi pia kuendesha gari ukiwa na kiatu cha mchuchumio. Rahisi ni kuvaa min au suruali. sasa tukianza kuwapangia, hilo tatizo. Kumbuka enzi hizi usitake kufurahishwa na mtu asiyekuhusu. Anayemhusu anafurahishwa na hizo min.
 
NB:Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi.Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.

I feel your pain bro.

e36c6f2e6efad4d2dbe4f64f6f0dfba4.jpg
 
Preta, Mbona jibu ni rahisi? Emilias G una gari? Huwezi kuendesha gari na sketi ndefu kiasi cha kuikanyagia. inaweza leta ajrai. Huwezi pia kuendesha gari ukiwa na kiatu cha mchuchumio. Rahisi ni kuvaa min au suruali. sasa tukianza kuwapangia, hilo tatizo. Kumbuka enzi hizi usitake kufurahishwa na mtu asiyekuhusu. Anayemhusu anafurahishwa na hizo min.

Si ndo hapo ebu mwambie huyo,dada wa watu akiwa na matatizo yake humsaidii,aki enjoy life lake maneno kibaoo wakati umebadilika sasa hivi,hamna mda wa kufatilia life style ya mtu tena usiyemjua.
 
Unataka kujua namiliki gari gani? Anyway sipo hapa kwa ajili ya kujipa kick,mada ni juu ya mavazi kwa akina dada wenye magari,ninachojua mimi ukivaa nguo ndefu ni nzuri kuendesha nayo gari coz inajivuta kwa juu na kubaki size inayotakiwa ila ukivaa kimini na ikijuvuta kwa juu pindi unapokaa kwenye kiti cha dereva huoni kama utamu utaonekana aka.Papuchi? Hii hupelekea shida sana pindi utapokuwa na watu wenye heshima zao ndani ya gari lako huku mapaja yapo njee,chupi lipo nje,tena unaweza kukuta mdada mwenyewe hajanyoa ma..zi,ndio inakuwa shida moja kwa moja! Mkubali tu jamani kuwa hii kitu ni mbaya,japokuwa kila mtu yupo free kuishi atakavyo hapa Tz!!! Mimi nimeshauri tu!!!!

Preta, Mbona jibu ni rahisi? Emilias G una gari? Huwezi kuendesha gari na sketi ndefu kiasi cha kuikanyagia. inaweza leta ajrai. Huwezi pia kuendesha gari ukiwa na kiatu cha mchuchumio. Rahisi ni kuvaa min au suruali. sasa tukianza kuwapangia, hilo tatizo. Kumbuka enzi hizi usitake kufurahishwa na mtu asiyekuhusu. Anayemhusu anafurahishwa na hizo min.
 
Habari za asubuhi?

Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna ongezeko kubwa sana la wanawake/wadada kumiliki gari na kuziendesha pia,ni jambo jema kwa kweli.

Ila shida yenu kubwa ni kuvaa vigauni /visketi vifupi sana, inakuwa shida sana pindi mnapotoka kwenye magari yenu, utakuta mdada wa watu anakosa amani na kuanza kukivuka kinguo chake mara kwa mara.

Mimi najiuliza hivyo vinguo vyenu ndio maelekezo mliyopewa wakati wa kupata leseni ya udereva kuwa ni lazima uvae nusu uchi ili uonekane mjanja au kuonesha kuwa ni dada poa?

Mila na tamaduni zetu za kitanzania, pindi uvaapo na kutoka nje ni lazima uheshimu na wengine,usiwape watu mifadhaiko isiyo na lazima.

NB: Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi. Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.

Hivi hujui wengine ndio starehe yetu hio kuona mapaja ya warembo? Hebu usituondolee burudani,waachwe wavae watakavyo....wewe mzuie mkeo,binti yako au binamu zako.
 
Si ndo hapo ebu mwambie huyo,dada wa watu akiwa na matatizo yake humsaidii,aki enjoy life lake maneno kibaoo wakati umebadilika sasa hivi,hamna mda wa kufatilia life style ya mtu tena usiyemjua.

Eti anasingizia mila na desturi zetu...blah! blah! Mila gani hizo unazozijua hapa TZ? Zimenadikwa wapi hizo mila? Makabila zaidi ya 120 tuna mila moja ya kitanzania kweli? Emilias hajajipanga. Siyo kila kinachonkera basi kiwe ni kibaya. Mbona wengine tunanogewa na kuhamia beach kila siku jioni?
 
Unataka kujua namiliki gari gani? Anyway sipo hapa kwa ajili ya kujipa kick,mada ni juu ya mavazi kwa akina dada wenye magari,ninachojua mimi ukivaa nguo ndefu ni nzuri kuendesha nayo gari coz inajivuta kwa juu na kubaki size inayotakiwa ila ukivaa kimini na ikijuvuta kwa juu pindi unapokaa kwenye kiti cha dereva huoni kama utamu utaonekana aka.Papuchi? Hii hupelekea shida sana pindi utapokuwa na watu wenye heshima zao ndani ya gari lako huku mapaja yapo njee,chupi lipo nje,tena unaweza kukuta mdada mwenyewe hajanyoa ma..zi,ndio inakuwa shida moja kwa moja! Mkubali tu jamani kuwa hii kitu ni mbaya,japokuwa kila mtu yupo free kuishi atakavyo hapa Tz!!! Mimi nimeshauri tu!!!!

Min ikijivuta juu unaona nini zaidi ya ulichotakiwa kuona? Wavae magunia basi!
Kosa ni lako kuchungulia ndani ya magari ya watu maana kumbe wanapoendesha ndo unaona. Unachungulia ya nini? Halafu unawatusi eti magari ya kuhongwa na urithi, kwa nini unadhani hivyo? Bado unawaweka akina dada kwenye kundi la viumbe wasiyofikia kiwango chako! Hiyo haifai.

Waache akina dada watupe raha na tena nawaomba wavae miwani myeusi. Nasi wanaume tunatoa raha zetu tutakavyo! Hakuna standards za aina hiyo nchi hii.
 
Assume uko na dada/mama yako kwenye gari yeye ndio dereva kisha ukaona mapaja yake,chupi yake ilivyovimba u.hi wake wewe utajisikiaje? Au fikiria dada/mama yako akavaa mavazi mafupi/kimini kisha akapata ajali na kutoka nje ya gari yake kuomba msaada na hicho kimini chake watu wengi wenye akili watamchukuliaje kama sio dada poa? Ninacho amini mimi dunia nzima watu wana privacy zao kwenye viungo vya uzazi,kama wewe unataka waendeshe gari wakiwa nusu uchi au uchi kabisa ndio ufurahi,naona anza kwa mfano kwenye familia yako.Beach inafahamika kuwa ni lazima mtu aogelee na mavazi ya wazi ili kukabiliana na nguvu ya maji,je kwenye gari hicho kimini au gauni fupi inasaidia kutokumalizika kwa mafuta au kwenda spidi kali???

Eti anasingizia mila na desturi zetu...blah! blah! Mila gani hizo unazozijua hapa TZ? Zimenadikwa wapi hizo mila? Makabila zaidi ya 120 tuna mila moja ya kitanzania kweli? Emilias hajajipanga. Siyo kila kinachonkera basi kiwe ni kibaya. Mbona wengine tunanogewa na kuhamia beach kila siku jioni?
 
Assume uko na dada/mama yako kwenye gari yeye ndio dereva kisha ukaona mapaja yake,chupi yake ilivyovimba u.hi wake wewe utajisikiaje? Au fikiria dada/mama yako akavaa mavazi mafupi/kimini kisha akapata ajali na kutoka nje ya gari yake kuomba msaada na hicho kimini chake watu wengi wenye akili watamchukuliaje kama sio dada poa? Ninacho amini mimi dunia nzima watu wana privacy zao kwenye viungo vya uzazi,kama wewe unataka waendeshe gari wakiwa nusu uchi au uchi kabisa ndio ufurahi,naona anza kwa mfano kwenye familia yako.Beach inafahamika kuwa ni lazima mtu aogelee na mavazi ya wazi ili kukabiliana na nguvu ya maji,je kwenye gari hicho kimini au gauni fupi inasaidia kutokumalizika kwa mafuta au kwenda spidi kali???

Hebu tulia kwanza maana assumptions zako zimefika mbali sasa.
Tatizo ni akina dada wanaoendesha magari au uvaaji unaotia aibu wahusika wa karibu? Ulianza na min kwa wanaoendesha, sasa unazungumzia mama dada mtoto kwenye gari. Hao unaowaona barabrani nyumbani wana kaka, baba, mama, n.k. wanapoondoka nyumbani wanajua wanakwenda wapi na wako na nani!

Kama ni uvaaji hakuna uhusiano na kuendesha gari. Hapo nyumbani ulipo mama au dada akivaa kanga moko au kanga mbende mbele yako huo ni upuuzi wake. Pia, baba au kaka alitoka na mlegezo au kifua wazi tumbo nje mbele ya dada zako, usione ni kawaida kwa kuamini wanaume ni safi tu. Yote ni hovyo!

Sasa badili mada iwe ni uvaaji kwa watu wa aibu na siyo akina dada wanaoendesha magari maana kuna kitu umewachukia hadi kuwapa magari ya kuhongwa na urithi! Valentina hebu njoo unisaidie mambo haya labda natetea upuuzi wangu pia.
 
Assume uko na dada/mama yako kwenye gari yeye ndio dereva kisha ukaona mapaja yake,chupi yake ilivyovimba u.hi wake wewe utajisikiaje? Au fikiria dada/mama yako akavaa mavazi mafupi/kimini kisha akapata ajali na kutoka nje ya gari yake kuomba msaada na hicho kimini chake watu wengi wenye akili watamchukuliaje kama sio dada poa? Ninacho amini mimi dunia nzima watu wana privacy zao kwenye viungo vya uzazi,kama wewe unataka waendeshe gari wakiwa nusu uchi au uchi kabisa ndio ufurahi,naona anza kwa mfano kwenye familia yako.Beach inafahamika kuwa ni lazima mtu aogelee na mavazi ya wazi ili kukabiliana na nguvu ya maji,je kwenye gari hicho kimini au gauni fupi inasaidia kutokumalizika kwa mafuta au kwenda spidi kali???

dada yako/mama yako akikuvalia hivyo wewe na yeye wote mna matatizo! una haki ya kumwambia dada yako/mama yako ila umuone mtu baki kwenye gari yakem huwezi kumpangia.

kuna watu wanapata ajali na nguo nzuri zinachanika zote na atu wanawasaidfia wakiwa nusu uchi! maisha yatakuwa mazuri sana kama uta-mind your own business!
 
Unajua mengine twawalaumu bure hawa watu.... zaidi tuwaombee kwa Mungu ili awasababishe wajielewe... mtu yoyote anaevaa nusu uchi hajielewi
 
Acha wavae tu... kuwaangalia sa nyingine inapunguza stress :A S shade::A S shade:!!!
 
Back
Top Bottom