Kwa wadada wapenda pesa na mahandsome

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Ukimpenda Mwanaume mwenye PESA au HANDSAM ni sawa na kufungua account NMB hivyo suala la foleni ni la kawaida usichukie ukimkuta mwenzako.
Kwa hiyo ni bora mdeal na sisi manyandumbi na wasio na pesa sana mpate mapenzi ya ukweli.
 
na ni very rare kumkuta legsome ana mipesa hahhaa manyandumbi jina tu lenyewe baya je muhusika.yani uwe nyandumbi halafu usiwe na pesa mwanamke gani atkupenda
 
Mawazo yako ndio akili yako hata kama yataonekana pumba kwa wenye upeo zaidi yako. Tabia ya mtu haiendani na uzuri au ubaya wake na hata pesa sio kigezo cha kuwa na tabia mbaya labda kwa malimbukeni.
 
 
Nyandumbi bila noti nayo majanga tu! Ni sawa na handsom brainless and mzuzuless!
 
Sina tyme naye, aone tu. Hoja zake azina mashiko. Sikuhizi namgongea malike tu akitoa mapoint.
kwamtoro your oxymorons lack a dose of surprising effect now, get innovative!
you should try a new approach, we have seen enough of your contradictions
Hoja zake hazina mashiko, then next: Nagonga like akitoa mapoint.
Sasa hoja zikikosa mashiko zinaweza kua na point? Au zenye pumba ndio zina mashiko?
Anyway, kwa leo nakubaliana na wewe: Ukipenda asali kubali kung'atwa na nyuki
Ukipenda ATM kubali foleni.
 
Last edited by a moderator:
Umefanikiwa kuanzisha UZI, hongera kwa kushiriki.
Mwali should see this
kweli wewe ni mwana mtoka pabaya
Sina tyme naye, aone tu. Hoja zake azina mashiko. Sikuhizi namgongea malike tu akitoa mapoint.
na wewe kwanini ukajibu hivi? Akili za mwenzio changanya na za kwako


you are very right kujibu hivi maana baada ya yeye kuchokozwa hasingerespond kama alivyorepond i hope ungekaa kimyaa mwanamwali wa watu
 
60% absolute correct. Have nice day & good work.
Jana ujang'aa kabisa JF, mpaka nilikuwa nawasiwasi labda sijui ulikuwa mwana mwali wapi.
 
Last edited by a moderator:
60% absolute correct. Have nice day & good work.
Jana ujang'aa kabisa JF, mpaka nilikuwa nawasiwasi labda sijui ulikuwa mwana mwali wapi.
ooowww, you missed me! so I guess "sina tyme nae" was also a false statement...
you noticed that I was not in (out of 120,000 members)polee, nilikua zangu tu home (sina access na Jf kama sio kazini)
Nimesoma hii hapa from äct like a lady think like a man" ya steve harvey. What's your opinion?
Naomba na lara 1 anipe opinion yake pia (please), I am always fascinated by ther approach to men/money

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…