Wadada msikubali kurubuniwa

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,030
Sina mengi ya kusema

Dada zangu mliokomaa hivi majuzi na kufikia hatua ya kuwa watu wazima nawaombeni Sana mjitunze msijihusishe na mapenzi yasiyokuwa na umuhimu wowote.Hakuna madhara yoyote utakayoyapata Kwa kujitunza.

Wengi wenu hamjaolewa sababu ya kutojitunza na kutochukua maamuzi sahihi katika maisha yenu.

Dada zangu Kwa yeyote atakayesema anakupenda Fanya zoezi la kumnyima penzi mpaka utakapoona unafunga harusi na yeye.Siku hiyo baada ya kukiri atakupenda Kwa raha na shida ndiyo umuachie.

Usidanganyike na vizawadi zawadi vya hapa na pale na maneno ya uongo sababu mwisho wa siku atakutumia na mwisho atakapomaliza haja zake atakuona takataka.

Wanaume wasio na nia na wewe na wenye mihemko na tamaa watashindwa hii ligi mapema sababu walifuata kitu kimoja tu kwako na ukitoa hicho kitu hawakupendi Tena.Jifunzeni kutofautisha tamaa na mapenzi.Wanaume wengi wamejaa tamaa.

Pia kitu kikiwa kigumu kupatikana kinakuwa Cha thamani Sana.Jifunzeni Toka Kwa wanawake wa kale.Miili Yao yote ilikuwa Ina dhamani Sana sababu walikuwa wanavaa nguo za kujisitiri na hawadangi ovyo ovyo.

Maamuzi sahihi mengi huja na malalamiko kutoka Kwa watu, watu watakuchukia,watakusema vibaya, mwanaume ataona humpendi, lakini hapo ndipo yalipo matokeo mazuri ambapo utachuja katika ya kondoo na mbuzi waliovaa ngozi ya kondoo.

NB; ONYO WADADA MKITAKA KUFANIKIWA KATIKA HILI MSIPOKEE KABISA PESA ZA MWANAUME AMBAYE HAJATOA MAHARI KABISA KWENU.NA AKISHATOA MAHARI KATAA PESA ZOZOTE ATAKAZOTAKA KUKUPA MPAKA ATAKOPOKUOA RASMI AKAKUFANYA UWE MKE KUEPUKA HUU MTEGO.
 
Dada zangu Kwa yeyote atakayesema anakupenda Fanya zoezi la kumnyima penzi mpaka utakapoona unafunga harusi na yeye.Siku hiyo baada ya kukiri atakupenda Kwa raha na shida ndyo umuachie.Usidanganyike na vizawadi zawadi vya hapa na pale na maneno ya uongo sababu mwisho wa siku atakutumia na mwisho atakapomaliza haja zake atakuona takataka.

Wanaume wasio na Nia na wewe na wenye mihemko na tamaa watashindwa hii ligi mapema sababu walifuata kitu kimoja tu kwako na ukitoa hicho kitu hawakupendi Tena.Jifunzeni kutofautisha tamaa na mapenzi.Wanaume wengi wamejaa tamaa.

Pia kitu kikiwa kigumu kupatikana kinakuwa Cha thamani Sana.Jifunzeni Toka Kwa wanawake wa kale.Miili Yao yote ilikuwa Ina dhamani Sana sababu walikuwa wanavaa nguo za kujisitiri na hawadangi ovyo ovyo.

Maamuzi sahihi mengi huja na malalamiko kutoka Kwa watu,watu watakuchukia,watakusema vibaya, mwanaume ataona humpendi,lakini hapo ndipo yalipo matokeo mazuri ambapo utachuja katika ya kondoo na mbuzi waliovaa ngozi ya kondoo.

NB; ONYO WADADA MKITAKA KUFANIKIWA KATIKA HILI MSIPOKEE KABISA PESA ZA MWANAUME AMBAYE HAJATOA MAHARI KABISA KWENU.NA AKISHATOA MAHARI KATAA PESA ZOZOTE ATAKAZOTAKA KUKUPA MPAKA ATAKOPOKUOA RASMI AKAKUFANYA UWE MKE KUEPUKA HUU MTEGO.

Ulishaambiwa mwalimu wao kipofu!! Unatafuta magonjwa ya moyo...!!
 
Sina mengi ya kusema

Dada zangu mliokomaa hivi majuzi na kufikia hatua ya kuwa watu wazima nawaombeni Sana mjitunze msijihusishe na mapenzi yasiyokuwa na umuhimu wowote.Hakuna madhara yoyote utakayoyapata Kwa kujitunza.

Wengi wenu hamjaolewa sababu ya kutojitunza na kutochukua maamuzi sahihi katika maisha yenu.

Dada zangu Kwa yeyote atakayesema anakupenda Fanya zoezi la kumnyima penzi mpaka utakapoona unafunga harusi na yeye.Siku hiyo baada ya kukiri atakupenda Kwa raha na shida ndiyo umuachie.

Usidanganyike na vizawadi zawadi vya hapa na pale na maneno ya uongo sababu mwisho wa siku atakutumia na mwisho atakapomaliza haja zake atakuona takataka.

Wanaume wasio na nia na wewe na wenye mihemko na tamaa watashindwa hii ligi mapema sababu walifuata kitu kimoja tu kwako na ukitoa hicho kitu hawakupendi Tena.Jifunzeni kutofautisha tamaa na mapenzi.Wanaume wengi wamejaa tamaa.

Pia kitu kikiwa kigumu kupatikana kinakuwa Cha thamani Sana.Jifunzeni Toka Kwa wanawake wa kale.Miili Yao yote ilikuwa Ina dhamani Sana sababu walikuwa wanavaa nguo za kujisitiri na hawadangi ovyo ovyo.

Maamuzi sahihi mengi huja na malalamiko kutoka Kwa watu, watu watakuchukia,watakusema vibaya, mwanaume ataona humpendi, lakini hapo ndipo yalipo matokeo mazuri ambapo utachuja katika ya kondoo na mbuzi waliovaa ngozi ya kondoo.

NB; ONYO WADADA MKITAKA KUFANIKIWA KATIKA HILI MSIPOKEE KABISA PESA ZA MWANAUME AMBAYE HAJATOA MAHARI KABISA KWENU.NA AKISHATOA MAHARI KATAA PESA ZOZOTE ATAKAZOTAKA KUKUPA MPAKA ATAKOPOKUOA RASMI AKAKUFANYA UWE MKE KUEPUKA HUU MTEGO.
UNAFELI SANA
 
Hawaelewi hapo labda wanakuonw mshamba ....Yaani mtu unataka kuolewa halafu unavaa vinguo vifupi ni hatari .
 
Huu muda uliotumia kuandika uozo ungeuza hata vitambaa ungepata hela ya kula na mtoto mzuri. Kaokote hata makopo uuze ukiwa huna hela unachanganyikiwa
 
Huu ushauri ni kwa hawa wadada wanataka iphone wakiwa vyuoni?Bata za kila siku?kwenda kwenye mahotel kujipiga picha?au ni wengine mkuu?
 
Sijui ni kazi huna?
Nani kakuomba huu ushauri?
Hivi hujui asili ya mwanamke ni kudanganywa?

1 Timotheo 2:14
WALA ADAM HAKUDANGANYWA ILA MWANAMKE ALIDANGANYWA KABISA.

Hawa hakuzaliwa na mwanamke sembuse hao ambao ukifika kwao mama mtoto mwenyewe ndo aenda kumuita aje muonane?

Pole sana ndugu!

Fanya hii reseach ndogo tu,
Kutana na dem muombe muwe wapenzi na mwambie huna kitu kabisa wewe ni mganga njaa tu akikuelewa oa kabisa isibaki kuwa tafiti!

IMG_3566.jpg
 
View attachment 2736482
Maneno kuntu haya✍️
 
Sina mengi ya kusema

Dada zangu mliokomaa hivi majuzi na kufikia hatua ya kuwa watu wazima nawaombeni Sana mjitunze msijihusishe na mapenzi yasiyokuwa na umuhimu wowote.Hakuna madhara yoyote utakayoyapata Kwa kujitunza.

Wengi wenu hamjaolewa sababu ya kutojitunza na kutochukua maamuzi sahihi katika maisha yenu.

Dada zangu Kwa yeyote atakayesema anakupenda Fanya zoezi la kumnyima penzi mpaka utakapoona unafunga harusi na yeye.Siku hiyo baada ya kukiri atakupenda Kwa raha na shida ndiyo umuachie.

Usidanganyike na vizawadi zawadi vya hapa na pale na maneno ya uongo sababu mwisho wa siku atakutumia na mwisho atakapomaliza haja zake atakuona takataka.

Wanaume wasio na nia na wewe na wenye mihemko na tamaa watashindwa hii ligi mapema sababu walifuata kitu kimoja tu kwako na ukitoa hicho kitu hawakupendi Tena.Jifunzeni kutofautisha tamaa na mapenzi.Wanaume wengi wamejaa tamaa.

Pia kitu kikiwa kigumu kupatikana kinakuwa Cha thamani Sana.Jifunzeni Toka Kwa wanawake wa kale.Miili Yao yote ilikuwa Ina dhamani Sana sababu walikuwa wanavaa nguo za kujisitiri na hawadangi ovyo ovyo.

Maamuzi sahihi mengi huja na malalamiko kutoka Kwa watu, watu watakuchukia,watakusema vibaya, mwanaume ataona humpendi, lakini hapo ndipo yalipo matokeo mazuri ambapo utachuja katika ya kondoo na mbuzi waliovaa ngozi ya kondoo.

NB; ONYO WADADA MKITAKA KUFANIKIWA KATIKA HILI MSIPOKEE KABISA PESA ZA MWANAUME AMBAYE HAJATOA MAHARI KABISA KWENU.NA AKISHATOA MAHARI KATAA PESA ZOZOTE ATAKAZOTAKA KUKUPA MPAKA ATAKOPOKUOA RASMI AKAKUFANYA UWE MKE KUEPUKA HUU MTEGO.
Wewe kuweza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom