Kwa wadada wa chuo natoa dozi

hahahahahaha duh huyu mkaka anajua kusema jamani . Hata mimi nimecheka mpaka basi hasa ile sehemu ya kunuka jasho la uhuru lol.
 
maneno yake makali sana na najua analo jeraha moyoni mweeh!

hapa nimekukmbuka khanga yangu moja hivi nilinunuliwa na mama miaka ya 90 hivi iliandikwa jraha limo moyoni.

Kwan wew ni dent?usihofu ni kawaida tu sister

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli utakuwa hujamuelewa best...

Sura hata mbuzi anayo,tafuta hela mkuu utakula papuchi za kila aina sembuse hizo aiefuemu
 
uwii mbavu zangu jamani
''jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru ya mwaka 1961''
eti wamwekee Microsoft Excell usoni.
Jamani we mwekundu mwanaume hasifiwi sura mwanaume anasifiwa kudeposit hela bank.
Yaani hapo na mimi nimecheka sana rafiki huyu mwekundu ana maneno si haba. Nakumbuka mkaka flani alitemwa na gf miaka ya 90 huko alimpondeaje mdada hadi aisema ana sura kama basi la mkoa lol.
 
Last edited by a moderator:
yaani..... sijui watu wanatoaga wapi maneno!
ila kwa kweli kanichekesha sana.
ila ukisoma nyuzi zake naona katendwa sana na hao wadada wa chuo

unaambiwa aje .............................usiseme huna mbio, hujakimbizwa!!!
 
Mwali na gfsonwin
Hapa kinachozungumziwa sio mapenzi kama tunavyofahamu, bali mapenzi feki yenye kufuata maslahi...
Utunzi wake umezingatia fasihi na kuficha upeo wa habari nzima, ila kwa wenye kuelewa uhalisia wa maisha ya mabinti vyuoni, maofisini na sehemu nyinginezo watamuelewa.
Anajaribu kuwaeleza wanafunzi wa vyuo kuacha UMALAYA
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, rafiki wewe sijui hata kama microsoft zitakufaa...... itabidi tuhamie kwenye powerful statistical packages......., Eviews, GAM, Stata, Mathematica........
 
hahaa anakwambia eti "jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 196"
hilo jasho sijui likoje
Hilo jasho analotoa lenye harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1960 nafikiri litakuwa na vumbi vumbi na vimichanga changa usoni!!!
 
ha haaaa, rafiki wewe sijui hata kama microsoft zitakufaa...... itabidi tuhamie kwenye powerful statistical packages......., Eviews, GAM, Stata, Mathematica........

Kilichonichekesha ni kuwa Microsoft excel ina mistari stari sasa ukimakarabatia mtu usoni si ndiyo atakuwa kituko zaidi?!!! Au mwenzangu microsoft excel yako ni tofauti?!
 
unaambiwa aje .............................usiseme huna mbio, hujakimbizwa!!!
Hahahahahahaha aaah leo humu jamvini kuna mambo jamani yaani na wewe umenichekesha sana lol. Hapa nilipo nacheka mpaka basi
 
Kilichonichekesha ni kuwa Microsoft excel ina mistari stari sasa ukimakarabatia mtu usoni si ndiyo atakuwa kituko zaidi?!!! Au mwenzangu microsoft excel yako ni tofauti?!
hahahahahah mimi nimajaribu kuimagine hiyo ms excel ikiwa imetokelezea usoni mbona kituko.
 
Kilichonichekesha ni kuwa Microsoft excel ina mistari stari sasa ukimakarabatia mtu usoni si ndiyo atakuwa kituko zaidi?!!! Au mwenzangu microsoft excel yako ni tofauti?!
ha haaa rafiki wanasemaga akutukanaye hakuchagulii tusi......
 
NIeleweshe basi. Naona mwenzangu FP kaelewa na ndio maana anacheka sana
ha haaa Mwali yaani hapa mimi ni kucheka tu leo.....
siku yangu ndo imeshaharibika hivyo, hapa hakuna kufanya tena kazi, ni kucheka tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…