KWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.
Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.
mama yangu tumbo langu mie.........hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.
yaani mimi hapa tumbo langu chali kwa kucheka, lol!uwii mbavu zangu jamani
''jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru ya mwaka 1961''
eti wamwekee Microsoft Excell usoni.
Jamani we mwekundu mwanaume hasifiwi sura mwanaume anasifiwa kudeposit hela bank.
Sijamuelewa vizuri ila ninacho weza kusema ni kua kamwagwa na mwanafunzi,mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
yaani mimi hapa tumbo langu chali kwa kucheka, lol!
mtu ana maneno huyu balaa
yaani mimi kilichoniacha hoi ni hayo maneno yake wala siyo stori nzima.....Sijamuelewa vizuri ila ninacho weza kusema ni kua kamwagwa na mwanafunzi,
probably because alidhani she would like him sababu ni kijana.
Hajaelewa it takes more than being young to become eligible siku hizi.
huo ujana wake "haulipi" in all the senses of the word.
Hayo ya jasho la 69 na pucha za photopoint sijui ndio nimepotea
yaani haya ni majanga, lol!nimecheka sana jamani
mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
ha haaa, rafiki nilichokutimulia huko siyo uzi, bali hayo maneno ndani ya uzi......dah!!!!!! halafu nimekimbia usipime kumbe lolz!
FP huyu ndugu yangu anasahau kwamba kupendwa sio ujana tu
sio kwasababu yeye ni kijana basi huyu binti angempenda kumbe doro
mie nina ushahidi wa mdogo wangu mmoja aliolewa na mtu amabye age difference ni 15+ yrs siku ana niintroduce nilisema sawa kwasababu sikutaka kuwa sehem ya regrets kwake.
leo hii wameoana wanaisha maisha kama wako peponi, anakula good time na mzee wake kwa raha zake.
tena huwa anaiambiaga sister mie sina presha ya sijui kaenda kunicheat, ama sijui ana leta pozi gani hapana.
hapa ninachokipata ni ananiheshimu na kwasababu kanizidi umri sana hata nikikosea husema tu mke wangu nisamehe sikukuelekeza vzr ndo mana hapa umekosea. nabembelezwa kila nitakavyo ili nisije juta kwann nimeolewa na mzee and life to me is good kuliko walioolewa na vijana wenzao
mimi namaliziaga Mungu akufunike zaid.
so ujana sio sabbau ya kupendwa pengine wewe kijana umeandikiwa kuja kuoa ukiwa kizee wa 70+ who knows??
ha haaa, rafiki nilichokutimulia huko siyo uzi, bali hayo maneno ndani ya uzi......
nimecheka yaani mpaka sasa bado natabasamu, lol!
mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
yaani mimi kilichoniacha hoi ni hayo maneno yake wala siyo stori nzima.....
eti mapoda hayakolei mpaka wanatamani wamwekee microsoft excel, lol!

yaani..... sijui watu wanatoaga wapi maneno!maneno yake makali sana na najua analo jeraha moyoni mweeh!
hapa nimekukmbuka khanga yangu moja hivi nilinunuliwa na mama miaka ya 90 hivi iliandikwa jraha limo moyoni.