Kwa wadada tu..

uko wapi?
mbona hakuna kelele?
nani yupo pembeni?
lete nimsalimie?
unatoka saa ngapi?
utakuja kula?
umefika wapi?
mbona unachelewa?
nipigie kwa simu ya ofisi basi?
hauko bar wewe?
umeshaanza!!!!!!!
sipendi tabia yako!!!!!!
njoo na mishumaa, uwahi!!!!
uje na mboga ya jioni?
nilikwambiaje?
nitumie vocha sasa hivi?
fanya haraka?
 
Calling a fellow woman the B word just for looking at a man(your man) is just wrong.
I don't ask that question, nilikua nanukuu maswali ya kuwakera wanaume ambayo hata mimi yana nikera.
 
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....

1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..

.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.

Linakuwa janga zaidi kama maswali haya anauliza mwanaume!
 
I don't ask that question, nilikua nanukuu maswali ya kuwakera wanaume ambayo hata mimi yana nikera.

Ohh good to know that.
Nilidhani na wewe ni mmoja wa wale wanaotukana wenzao hata kwa kupendeza tu au kuangaliwa na wanaume wao bila hata wahusika kujua.
 
Maisha gani watu wasiulizane jamani? kama hutaki kuulizwa kuwa single au uumbe wako umcondition asikuulize ulize, lakini kwa hawa uliowaumba Mwenyezi Mungu, swala la kutoulizwa utalisikia kwenye bomba......
 
Ohh good to know that.
Nilidhani na wewe ni mmoja wa wale wanaotukana wenzao hata kwa kupendeza tu au kuangaliwa na wanaume wao bila hata wahusika kujua.
Hahahaha, hata akihusika sasa unamtukania nini mwanamke? mtukane huyo ulie na makubaliano nae. lol
 
Mimi hayo maswali huwa siulizi kabisa, nakumbuka kuna siku Gozi liliniuliza "hivi wewe hata huniulizi niko wapi, nafanya nini". Nikamwambia kabla sijakuuliza wewe mwenyewe unaniambia na nnajuwa kokote ulipo na lolote ufanyalo ni kwa ajili yetu mradi ukumbuke kuwa unayoyafanya yote ni ya halali. Akacheeeka.

Yes, kuna maswali ambayo muulizaji unaweza kujiona ni hodari lakini yanakuwa so embarassing kwa unaemuuliza, maswali namna hiyo hayana jema.
 
nahisi sijasahau kusoma jameni,..imeandikwa kwa wadada tu, mbona tunaingiliana??...ha ha ha ha...
maana naona njemba tumetupia tena zaidi ya wahusika,...nina mashaka!
 
Mimi hayo maswali huwa siulizi kabisa, nakumbuka kuna siku Gozi liliniuliza "hivi wewe hata huniulizi niko wapi, nafanya nini". Nikamwambia kabla sijakuuliza wewe mwenyewe unaniambia na nnajuwa kokote ulipo na lolote ufanyalo ni kwa ajili yetu mradi ukumbuke kuwa unayoyafanya yote ni ya halali. Akacheeeka.

Yes, kuna maswali ambayo muulizaji unaweza kujiona ni hodari lakini yanakuwa so embarassing kwa unaemuuliza, maswali namna hiyo hayana jema.

...mmmwaaahhh... FF.! I like that.
 
Kuuliza ni muhimu sana,
Ila tatizo linakuja ni ile namna ya muulizaji,
Ukimuliza mtu bila ustarabu as if mdada ni askari na huyo bwana ni mhalifu lzm atakereka,
Ila km ukiwa mjanja lzm uwe na style ya kistarabu ambayo itamfanya awe ana taman kusia ukimuliza!!
Ficha hasira za wivu ktk maswali na yaulize kwa style ya kuonyesha kujali na upendo atajieleza hata yale ambayo hajaulizwa!!!!!
 
Tatizo kubwa ni kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Wanasikiliza NUSU, wanaelewa ROBO, lakini wanaongea mara MBILI. Sitaki kabisa maswali ya kipuzi, nitakuzaba mabao na kukupa kibano kama mbwa mwizi.

Nyie ndo huwa mnageuza wanawake wenye tabia njema kuwa vicheche na mwisho wauaji. Mtu wa tabia yako mwisho wake si nitakuulia mbali tu? Nashukuru sikukutana na wa aina yako wallah ningekukomesha. :embarassed2::hatari:
 
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....

1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..

.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.

Kama unakereka, ukiulizwa uko wapi na unafanya nini mara nyingi unakuwa unavunja amri ya sita.
 
kuulizana muhimu ni katika kuonyesha unajali!
inakera unapoulizwa maswali hayo na mtu asiyekuhusu kivile....
 
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....

1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..

.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.

data u are very wrong
usipofanya hivyo unaiangamiza ndoa yako
kuuliza ni ishara ya kujali pamoja na upendo
usipouliza wewe unampa nafasi mumeo ya kutafuta nyumba ndogo ambapo atakua anaulizwa,anabembelezwa
 
Back
Top Bottom