Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

kumbe marytina yupo bana hajaondoka naona anachungulia dirishani hapo chini
 
dont mind him dear he is just a p.i.m.p and a player

Hashy hawa ndo wabaya sana,si unaona kama huyu mwanzo alikuwa kama anatutakia mema,nilipolegeza kamba kidogo huyo????
Mwenye maana ni wewe tu..................lol:smile-big:
 
tatiana huyu ulishakosea ukampa,hawana maana ati au hujamsoma mary tina,sasa hivi anaangaika na mimi????
Agiza tu wine kama una hela ulegee zako ulale au kapande gari uwahi home!!

umenichekesha sana. Basi wacha ninywe zangu nisepe! Akija namchunia,eti eh!
 
Hashy hawa ndo wabaya sana,si unaona kama huyu mwanzo alikuwa kama anatutakia mema,nilipolegeza kamba kidogo huyo????
Mwenye maana ni wewe tu..................lol:smile-big:

images
 
Tatiana huyu ulishakosea ukampa,hawana maana ati au hujamsoma Mary tina,sasa hivi anaangaika na mimi????
Agiza tu wine kama una hela ulegee zako ulale au kapande gari uwahi home!!

Dah!!!! michelle i don't break them heartz,

Women wish to be loved not because they are pretty, or good, or well bred, or graceful, or intelligent, but because they are themselves.
 
huyo mmasai na swaga zake za kimasikini achana nae kwanza nasikia wanatabia ya kuchukuliana wake, mwenzake akija kuchomeka mkuki mbele ya nyumba yako ana........

Nimekusoma mmarangu wangu,mi penda wewe napiga bia kwenda mbele,na wajua mi nataka nikaipatie bia marangu mtoni..........lol
 
SAWA ILA HAPA NI SWALA LA SURVIVAL YA WATOTO,nia ya kuishi ni to pass genetic material to next generation, UGUMU WA MAISHA UNAWEZA KUJA WAFANYA WATOTO WANGU KITU MBAYA ( survival 4 fittest) au CHADEMA watatoa rais maisha yabadilike ndio...

"Well, it's not the men in your life that counts, it's the life in your men."
 
When the routine bites hard
And ambitions are low
And the resentment rides high
But emotions wont grow
And were changing our ways,
Taking different roads
Then love, love will tear us apart again
 
Nimekusoma mmarangu wangu,mi penda wewe napiga bia kwenda mbele,na wajua mi nataka nikaipatie bia marangu mtoni..........lol

love your enthusiasm......come lets take a ride baa gani ungependelea kujiachia siku ya leo
 
michelle kanipeperushia tatiana wangu....

Huna hela mmasai wewe,amekuhurumia kalipia guest,we uko tu eti unamjali,university watoto watalipwa na huko kujali kwako??
Ngoja apate mmarangu ndo utajua mchicha ni mboga ya haraka!
 
Huna hela mmasai wewe,amekuhurumia kalipia guest,we uko tu eti unamjali,university watoto watalipwa na huko kujali kwako??
Ngoja apate mmarangu ndo utajua mchicha ni mboga ya haraka!

Sina hela ila nina Simba
 
Back
Top Bottom