hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,838
hahahahaaa!!!
watu mtafikiri mlikuwa mnamlia timing.......akifurukuta mnapiga nyundo mule mule...........anaonekana anaweka mabandiko ya marangu na kubandua kama DJ bon luv...........yani ni mwendo wa Lymo.......Mosha.........Macha........Tarimo.....yani kwa mwendo huo.
naona ameiandika hii thread akiwa juu ya boneti la gari inayochemsha