asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
Ndiyo maana watu hawaishi machungu , km kila uhusiano mnataka uzae future......Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???
Ndiyo maana watu hawaishi machungu , km kila uhusiano mnataka uzae future......
Aiseeeeh!!!!! Duh!
Ndiyo maana watu hawaishi machungu , km kila uhusiano mnataka uzae future......
Aiseeeeh!!!!! Duh!
hivi unafikir mm nikikufuata kuwa nataka nikugegede halafuu nitembee zangu hiv utanikubali?
Na kawaida ya mwanamke ukimwambia ukweli hakubali sijui kwann mmekuwa hvyo
hahaaa khantwe cwez kua baba kwa sababu mm n mama
Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???
Kama mm huwa naosha rungu tu siku hizi ukitegesha mimba ujue u-single mother unakuhusu.
natumai mu wazima wote.
Kwenu dada zangu na wadogo zangu;jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.
Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.
Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.
Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
wanawake wote tambueni sio kila relationship lazima iishie kwene ndoa.... Zingne tunasindikizana ukubwani tu
Tumia family plan wewe mwanaume...kafunge uzazi....
Wanawake wanawake...nyie kujicontrol hamtaki
Natumai mu wazima wote.
Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.
Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.
Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.
Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....