Kwa wachaga tu.

Wakati anaendelea kukata hiyo stori akija mtu kama vile anataka kusupoti au kubisha utasikia" nyamasa ki -ja -naa, kwansa wewe ni mtoto ndoko sanaa, usinifunjie heshima hapa, unataka kujifanya unamjua huyu kuliko mimi? kwa taarifa, mama yako anaolewa mimi naona kwa macho yangu, alaah! watu wengine banaa!" Tuendelea kijana wangu, hifi nilishia wapi filee!
 

Mmeeku angalizo kwenye hii red tafadhali.

H aha ha ha ha ha, thats xspin umenichekesha sana, vipi kuhusu WAMA NA WANDE? unafahamu chochote hapo????
 
Moshi hapatoshi, Full shangwe hapa XSPIN hapa NGULI, NA Ngera ya MSESEWE KYACHAKICHE yuko NJIANI anakuja.
 
Na kweli hapo kata za pombe lazima ziwe nyingi vilabuni. niliwahi kuishi huko uchagani na kipindi cha x mass usiseme, wanakuja wachaga wenhi sana na kuondoka januari
 
Jamani mmenikumbusha mbali sana, mie ndio natoka Arusha kwenda Moshi, pale ninunue kitanda na Godoro tayari kwa safari ya kwenda Kirua Vunjo kwa kutumia usafiri wa pick up,
xmass nachinja mbuzi kama 2 na vyuku wakutosha.
NASIKIA JAM IMEANZIA CHALINZE
 

mani unanunua kitanada na godoro unataka kwenda kupiga ngwara umteke binti wa kichaga aliyetoka daslamu mangi angu aisee.uangalie tu me manake kuna ngoma sasa mangi
 
Kipindi hiki ndo mabinti wanapigwa mitama na kubebwa na kwenda kuolewa kinguvu,uuuuwiii! Ikifika saa moja usiku mama hajaona binti yake roho juu juu anajua tayari vijana wameshabeba mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…