kwenye mada moja kwa moja hivi majina kama vile lusungu, lukelo, twilumba na hata anjimie hivi majina haya huweza tumika kwa aina zote mbili za binadam nikimaanisha wanaume na wanawake au yanatumiwa kwa jinsia moja tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.