Kwa wa dada wanaotaka wachumba 2013

Kwa wa dada wanaotaka wachumba 2013

Kwa hayo maombi aliyo omba huyo dada ningemfaham ningemwambia ani pm:mwaaah::mwaaah::mwaaah: aje kwetu mlima meru tukalianzishe.....She looks sooo wise...japo sijui kuwa yeye anasifa gani:confused2:
 
Mwalimu gfsonwin nikutakie heri ya mwaka mpya bwana,uwe mwaka wa mafanikio kuliko huu unaoisha.Ila muombe mungu vijana wasifunguke bwana wewe uko kwenye kifungo tayari ha ha ha ha ha..................

mmmh! kaka acha tu, naona vijana wanashindwa kujizuia kabisa lol!
nawe pia nakutakia mwaka mpya mzuri sana salimia kids wako.
 
Mhhh mbona huyo mdada anatoa maombi rundo. Sasa huyo mchumba wa sifa hizo zote si inabidi Mungu amuumbie mume wake peke yake.
Omba kwa mahitaji, sio ili kumshinda fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom