kwa vyuo vikuu vyote vya Tanzania

Oppotunity

Member
Sep 9, 2013
38
12
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imepunguza ada ya vyuo vikuu vyote vya serikali na private kwa asilimia 40 kwa faculty zote.


Taarifa hii limetolewa rasmi na tume ya vyuo vikuu vya tanzani na imethibitishwa kwamba viwango hivyo vipya vya ada vitaanza kutumika rasmi mwaka wa masomo 2014 / 2015.

Hii ni kutokana na kwamba watanzania wengi hasa watoto wa wawakulima wanashindwa kuwasomesha watoto wao elimu ya juu kutokana na hali ngumu ya maisha
source TCU.
 
Sasa naanza kuelewa how the play gets playing....
Hii inaitwa 'ng'ata na kupuliza' simultaneously...

Najua wengi watashangilia lkn ninachoona hapa ni kuzungukwa kiaina.

Sasa, serikali haioni haja ya kuendelea kua na large no. of higher edu. loarn beneficiaries, wanaamua kufunika kombe kwa kupunguza ada, ili hata wale wa chini at least wajitutumue.
 
Mkuu hili tamko umelipata wapi isije ikawa ni stori za kwenye migahawa baada ya kuvimbiwa daku la jana na pilau ya Eid.
 
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imepunguza ada ya vyuo vikuu vyote vya serikali na private kwa asilimia 40 kwa faculty zote.
taarifa hii limetolewa rasmi na tume ya vyuo vikuu vya tanzani na imethibitishwa kwamba viwango hivyo vipya vya ada vitaanza kutumika rasmi mwaka wa masomo 2014 / 2015.
hii ni kutokana na kwamba watanzania wengi hasa watoto wa wawakulima wanashindwa kuwasomesha watoto wao elimu ya juu kutokana na hali ngumu ya maisha
source TCU.

ni kwa undergraduate tu au na masters
 
Siziamini izo habari, mfano Udom chuo cha umma wameshapandisha ada kuanzia undergraduate na Postgraduate courses ndo haugusi kabisa
 
Hii siyo kweli, TCU haijatoa tangazo hilo,ukiangalia ndo kwanza ada zimepanda haswa kwa UDOM
 
Kama ni kweli hilo, itakuwa imefanya hivyo ili kupunguza kiasi kikubwa cha fedha inayoelekeza kwenye mikopo ya elimu ya juu
 
Hiyo danganya toto, vyuo vingi na shule binafsi znajiendesha zenyewe, utazipangiaje ada wakati serikal haizip ruzuku za kuendeshed shughuli zao?

Huo ni upepo tu wa kisiasa mtapgwa changa la macho, vyama vya siasa vnapata ruzuku toka serikali kuu, lkn bado kuna michango ya ndani, leo shule, taasisi binafsi?
 
Danganya toto hiyo. Subiri gharama zitakavyopanda hata kama ada chini.

Watafidia tu, kama hela ya ulinzi, gharama za kemikali za maabara, usafi,madereva, mitihani + tests, supplimentaries, nk.

Hakuna gharama kupungua.
 
Back
Top Bottom