Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Pamoja sana KamandaKaribu sana jukwaani Kamanda
Kwani unanufaikaje Magufuli anapokuwa Rais na wwkati huo huo mwenyekiti wa CCM?Tunafaidikaje sie wananchi kwa Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti?
Sina nachofaidika,ndiyo nashangaa watu kuacha kujadili masuala muhimu yenye kugusa masilahi yao na kuanza kujadili au kufurahia Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa chadema,tuseme ccm walitaka Mbowe asiwe mwenyekiti na hiyo ni kwa masilahi yao ila sielewi sie wananchi kushabikia Mbowe kuwa mwenyekiti na ccm kufeli kwa hilo tuna masilahi gani nako hapo?Kwani unanufaikaje Magufuli anapokuwa Rais na wwkati huo huo mwenyekiti wa CCM?
Jiunge kwanza Chadema ndio utafahamuTunafaidikaje sie wananchi kwa Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti?
Jiunge kwanza Chadema ndio utafahamu
Hao waliyojiunga mbona sijaona walichofaidika na zaidi ya ushabiki tu.Jiunge kwanza Chadema ndio utafahamu
Huyo Kigogo nimemdharau kweli, kumbe ni jamaa fulani asiejielewa yupoyupo tu, kama popo!, ni kama robot fulani, anatumiwa na kiongozi fulani wa upinzani mwenye muonekano na matendo ya ki_opportunistic, siku zote haaminiki na kauli zake!, na bahati nzuri alishawahi kusema tusiwaamini wanasiasa ni waongo, kwangu mimi yeye ndie muongo namba moja.
Kigogo my friend you should know where to hit and how, sio una hit everywhere, kwasababu ya chuki zako binafsi, wajanja watakudharau!
kigogo ni mwanamke aliyekosa mme